Viti vya salon ya kiume vinauzwa

Viti vya salon ya kiume vinauzwa

therealjoh

Senior Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
108
Reaction score
88
Habari wakuu, nauza viti viwili vya mtumba vya salon ya kiume, bei ni sh. 240000(bei inaweza kupungua)kwa kila kimoja. Mwenye uhitaji ani pm tufanye biashara.
IMG-20181205-WA0000.jpg
 
vipi bei inapoa ,unaweza niletea hapa AREA D,karibu kwa Mzee Hujui kuandika Tangazo!
 
vipi bei inapoa ,unaweza niletea hapa AREA D,karibu kwa Mzee Hujui kuandika Tangazo!
Pengine nimekosea mkuu samahani kwa hilo, naomba unirekebishe ili nisikosee kwa wakati mwingine
Ila bidhaa iko dar es salaam
 
Pole....Mkuu ulitakiwa,kusema upo wapi ! Mawasiliano nk ! Kama itakuwa bahati mbaya kwako,hujauza hadi wiki ijayo nitakutafuta ,lakini wa Mikoani utufikirie punguzo kuna suala la usafiri !
 
Back
Top Bottom