Vitenge

kigoma unapata vizuri,kariakoo,na clock tower
 
Hujasema hata uko wapi jamani kuweni serious kama kweli unahitaji msaada ,sema uko wapi etc
 
Hujasema hata uko wapi jamani kuweni serious kama kweli unahitaji msaada ,sema uko wapi etc

Kuna mtu yuko meya,hapo je,yeye atasaidiwaje?
Natanguliza shukrani.
 
adharusi said:
kigoma unapata vizuri,kariakoo,na clock tower

je ni wax ama ni printed zenye ziko huko,sana sana katika kariakoo?
 
nenda kigoma kuna vitenge vya uhakika, na hata kitumbini kule karibu na mnazi mmoja dar es salaam utapata vitenge kama uko mwanza nenda mwanza town utapata vitenge utachagua utakacho best kila kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…