Vitendo vya Ubakaji vyaongezeka Pemba

Vitendo vya Ubakaji vyaongezeka Pemba

jerrytz

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
5,980
Reaction score
4,284
Habari hii ni kwa mujibu wa Gazeti la ''Zanzibar Leo''....
Katika hali ya kustaajabisha vitendo vya ubakaji vimeongezeka kwa kasi katika kisiwa cha Pemba. Kwa mujibu wa chanzo hicho cha habari kumekuwepo na mfululizo wa matukio ya ubakaji katika miezi ya karibuni kwa kiwango kinachotia hofu na kushangaza kiasi cha kuwatia hofu wananchi wa kisiwa hicho.

Kwa kweli hii ianasikitisha sana

Habari zaidi soma gazeti la Zanzibar Leo
 
Mahakama ya kadhi atapigwa mawe bora apelekwe kule mnakochinjana kama kuku ati kwa wivu wa mapenzi.

leo mbona unalonga kwa hasira hivyo?!. unadhani ukweli utabadilishwa kuwa uwongo. Ubakaji haumalizwi kwa jazba, ongezeko la ubakaji lina visababishi....... moja wapo ni tabia ya dola ya zanzibar kuwashughulikia waharifu kwa matabaka, kuna mtu akifanyiwa uharifu hasikilizwi................
 
zanzibar uyahe mwingi.usultani,umwinyi,ubwenyenye
 
acha hizo bwana.hila usimwambie mtu kuacha haka kamchezo kanaitaji imani.kwani wanabakwa wana umri gani?
Wanaobakwa huwa wana umri mkubwa tu...cha ajabu huwa wengine nasikia hawapigi kelele wanasubiri mpaka umalize eti ndio wanaenda polisi kushitaki...chezeya haka kamchezo weye.....
 
[
KUBAKA SI HARAM....dini zingine bwana ....!wanaobaka ndo hao tunaowaona kwenye mihadhara....

QUOTE=jerrytz;5919471]Habari hii ni kwa mujibu wa Gazeti la ''Zanzibar Leo''....
Katika hali ya kustaajabisha vitendo vya ubakaji vimeongezeka kwa kasi katika kisiwa cha Pemba. Kwa mujibu wa chanzo hicho cha habari kumekuwepo na mfululizo wa matukio ya ubakaji katika miezi ya karibuni kwa kiwango kinachotia hofu na kushangaza kiasi cha kuwatia hofu wananchi wa kisiwa hicho.

Kwa kweli hii ianasikitisha sana

Habari zaidi soma gazeti la Zanzibar Leo[/QUOTE]
 
Nasikia huko watu wote wanavaa baibui na kwa mujibu wao hiyo huwa inawaondolea tamaa sasa inakuwaje tena wanabaka wanawake na baibui zao?
 
Wanaobakwa huwa wana umri mkubwa tu...cha ajabu huwa wengine nasikia hawapigi kelele wanasubiri mpaka umalize eti ndio wanaenda polisi kushitaki...chezeya haka kamchezo weye.....
basi hajabakwa bali walibakana
 
wakuu tafsiri ya kubaka kwa Pemba ni tofauti na tuijuavyo huku bara! nilikuwa pemba nafanya utafiti fulani. unamuuliza mwanamke kama aliwahi kubakwa? anasema hapana, lakini ukimuambia mtoto wako wa kwnza ulimpata ukiwa na umri gani anakuambia 15!
kule ukitaka kumuoa binti wa form two unapewa baraka na wazazi, waalimu na jamii nzima!
 
Ndio umeandika nini hichi? Na wewè ni mtafiti pia!
 
Back
Top Bottom