Vitendo na nadharia kwenye afya

Vitendo na nadharia kwenye afya

DALT

Senior Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
168
Reaction score
77
Habari wanandugu,

Hivi kati ya nadharia na vitendo katika kozi ya utabibu wapi ni pagumu zaidi, yaani Kama ni mwanafunzi unakuta anajua nadharia vizuri lakini ukimpeleka kwenye vitendo hajui na mwingine anajua vitendo lakini nadharia hajui.

Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza mpaka Sasa sijui ni wapi nikomalie zaidi Kati ya nadharia au vitendo.

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Nadharia ni ya muhimu ili uwe kufanya vitendo lakini kwenye uzito wa grade kwenye mitihani, nadharia ina alama ndogo ukilinganisha na practical yake, mfano unakuta somo ni Internal medicine, End of semester exam theory inacomprise about 15% na practical 45%, 40% ni kutoka kwenye CA zako so, practical inakubeba sana ukiifaulu vizuri ila haimaanishi ukifell theory you are safe, components zote ni muhimu moja ukianguka hata moja ndio umeshindwa somo zima hata kama una mia component nyingine
 
Back
Top Bottom