Vitanda vya zege vinaimarisha ndoa

Vitanda vya zege vinaimarisha ndoa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,812
Reaction score
61,489
Vitanda vya zege vinaimarisha ndoa, hata kama umepanga havisumbui majirani hata watoto wanakuwa hawaelewi kinachoendelea. Mnavyojua mahaba ili yaende vizuri yanahitaji utulivu, kwa hiyo nawashauri achaneni na vitanda vya chuma, mbao n.k

Muhamie kwenye vitanda vya zege. Gharama yake ni nafuu sana, ukiringanisha na faida utakayoipata. Ukiwa mbishi shauri yako,we endelea kutumia hivyo vinavyopiga kelele ambavyo kila ukiinua mkono jirani anajua jamaa anatikisa.
 
Vita ikizidi ....

Mnashusha godoro chini

Ki wima wima

Sauti ya redio inakuwa juu kuliko sauti nyingine 😋

Mbinu kadhaa za medani za kivita....

Maumivu yakizidi muone fundi Maiko 🤪👇🏽

D3A6A06E-0CBD-4DA5-BA58-A7C759DE1835.jpeg
 
Back
Top Bottom