Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,783
- 61,449
- Thread starter
- #21
Ukiwa nacho hakuna hasara ya kuvunja chagaKabisa nadhani nitajihisi nipo juu ya kaburi! Looh!!!
Ukiwa nacho hakuna hasara ya kuvunja chagaKabisa nadhani nitajihisi nipo juu ya kaburi! Looh!!!
Raha upate wewe, huku ukiwasumbuwa wengine haikubalikiUjirani mwema ni pamoja na kuvumiliana..
Picha ziko nyingi ila zina copyrightViwe Vingi Bila Kutandikwa Tuone Uzuri Wake
ha ha ha chaga zikiachia ndio shida, au mtu agonge hodiIla ule mkito wa chaga za kitanda una mzuka wake yaan mwanamke na kitanda kinalia
Maisha haya tunategemeana, tunaweza kusababisha mafundi seremala kulala njaa kama tutaogopa kuvunja chaga.Ukiwa nacho hakuna hasara ya kuvunja chaga
Waendelee kutumia vya kawaida tuduuh kitanda cha zege nyumba ya kupanga tena tandale au mbagara are you serious!?
Ulishavunja chaga ngapiMaisha haya tunategemeana, tunaweza kusababisha mafundi seremala kulala njaa kama tutaogopa kuvunja chaga.
Shambani!!Upo Wapi Sasa Hivi
Nimepoteza idadi sahihi, ila nachojua tuna fundi wetu wa kudumu, na anatukubali sana maana kwetu tenda hazikauki.Ulishavunja chaga ngapi
Vinapunguza gharama ya matengenezoKwa wale heavy weight vinawafaa sana...
Kwa maelezo hayo,uko vizuri kwenye sarakasiNimepoteza idadi sahihi, ila nachojua tuna fundi wetu wa kudumu, na anatukubali sana maana kwetu tenda hazikauki.
Na hapo kwako tengeneza kimoja kwa uhai wa ndoaVimeanza kushamiri
Nimeona asaiv watu wanavijenga sana.
Sema vingine vimekaa kama makaburi [emoji23][emoji23]
SawaNa hapo kwako tengeneza kimoja kwa uhai wa ndoa