Nadhani hizo zitakuwa zile guest za short time maana wanaweza kulitumia hilo zege zaidi ya watu kumi kwa siku na kwa wenye maumbo tofauti tofauti hadi kilo 140.Kitanda cha mbao hakitahimili kila mara ni kutengeneza chaga.Bei za hizi guest ni ndogo na mwenye heshima zake hawezi kukubali kulala kwenye hilo zege sawa na kulala kaburi la kisasa.Kaburi la kisasa zege huanzia chini na vigae huwekwa.Hata bure siwezi kwani ni kuota ndoto za kuzimu hadi asubuhi kama utaupata huo usingizi.
Hizi vitu zipo mi nilikutana nayo kinesi ukivuka na panton kutokea msm mita chache kulia kuna guest ina hizo vitu za zege wenyeji wa pande hizo wanaijua vizuri