Si vina godoro lakini? Kama godoro lipo kuna tofauti gani kama chini kuna spring, chuma, mbao au zege? kwanza ulikuwa unachungulia nini chini ya mvungu wa kitanda hadi ukaona ni zege?
Nilienda pale Le Promise nilishangaa haswa ila kilikuwa kimepambwa na tiles fresh na juu kabla ya godoro kuna kingozi kimezungushwa kama siti za daladala by the way kinapendeza ila ndio hakisogei location yake ndio parmanento