L lokiyo JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,953 Reaction score 879 Feb 4, 2016 #1 habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..je ni kwa ajili ya mikikimikiki
habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege..je ni kwa ajili ya mikikimikiki
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,289 Reaction score 3,125 Feb 4, 2016 #3 lokiyo said: habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege.. Click to expand... Ili kutoa nafasi kwa wale wenye kutumia nguvu wakati wa tendo watekleze wajibu wao.
lokiyo said: habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege.. Click to expand... Ili kutoa nafasi kwa wale wenye kutumia nguvu wakati wa tendo watekleze wajibu wao.
Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,013 Feb 4, 2016 #4 Si mnavivunja kila siku kwa maufundi yenu! Sasa tumeamua kuweka zege ili tusipate hasara ya kununua vitanda kila siku. Nadhani umenipata Mkuu!
Si mnavivunja kila siku kwa maufundi yenu! Sasa tumeamua kuweka zege ili tusipate hasara ya kununua vitanda kila siku. Nadhani umenipata Mkuu!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 4, 2016 #5 mmewaingiza sana hasara na vitanda vya mbao... zege hata mpige sarakasi kitu kipo stable ... hata zile kelele za kitanda hazikiki
mmewaingiza sana hasara na vitanda vya mbao... zege hata mpige sarakasi kitu kipo stable ... hata zile kelele za kitanda hazikiki
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,105 Reaction score 165,323 Feb 4, 2016 #6 Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma
JembePoli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2015 Posts 1,324 Reaction score 999 Feb 4, 2016 #7 Evelyn Salt said: Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma Click to expand... Naku PM mkuu unipeleke hapo namba ngapi zege tanda lake kubwa
Evelyn Salt said: Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma Click to expand... Naku PM mkuu unipeleke hapo namba ngapi zege tanda lake kubwa
namlexink JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 1,434 Reaction score 945 Feb 4, 2016 #8 kwa sababu mbao ni ghali sana...😎
L lokiyo JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,953 Reaction score 879 Feb 4, 2016 Thread starter #9 Evelyn Salt said: Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma Click to expand... okay..khu unapenda bao ngp
Evelyn Salt said: Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma Click to expand... okay..khu unapenda bao ngp
L lokiyo JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 1,953 Reaction score 879 Feb 4, 2016 Thread starter #10 miss chagga said: mmewaingiza sana hasara na vitanda vya mbao... zege hata mpige sarakasi kitu kipo stable ... hata zile kelele za kitanda hazikiki Click to expand... yaaah labda kelele za kitanda huwa ni shida hasa mnapokua kwy dog stail
miss chagga said: mmewaingiza sana hasara na vitanda vya mbao... zege hata mpige sarakasi kitu kipo stable ... hata zile kelele za kitanda hazikiki Click to expand... yaaah labda kelele za kitanda huwa ni shida hasa mnapokua kwy dog stail
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 4, 2016 #11 lokiyo said: yaaah labda kelele za kitanda huwa ni shida hasa mnapokua kwy dog stail Click to expand... pale ni tatizo sikuruu zinakuwa zimelegea
lokiyo said: yaaah labda kelele za kitanda huwa ni shida hasa mnapokua kwy dog stail Click to expand... pale ni tatizo sikuruu zinakuwa zimelegea
T Tate Shebughe JF-Expert Member Joined Jan 4, 2016 Posts 324 Reaction score 265 Feb 4, 2016 #12 lokiyo said: habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege.. Click to expand... lokiyo said: habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege.. Click to expand... Nadhani ni njia rahisi ya kubana matumizi. hata mimi nimeshawahi kulala gesti yenye kitanda cha zege hapo Dar! ile gesti nilitokea kuichukia sana na niliapa kutokwenda kulala pale tena. Sikuvutiwa na aina ile ya kitanda kwa kweli.
lokiyo said: habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege.. Click to expand... lokiyo said: habarini wadau, hivi ni kwa nini baadhi ya gesti huwa zina vitanda vya zege.. Click to expand... Nadhani ni njia rahisi ya kubana matumizi. hata mimi nimeshawahi kulala gesti yenye kitanda cha zege hapo Dar! ile gesti nilitokea kuichukia sana na niliapa kutokwenda kulala pale tena. Sikuvutiwa na aina ile ya kitanda kwa kweli.
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,922 Reaction score 4,716 Feb 4, 2016 #13 Mtalala makaburini mkizani kitanda cha zege
N Ndakilawe JF-Expert Member Joined Jul 6, 2011 Posts 4,815 Reaction score 2,832 Feb 4, 2016 #14 hata Landmak hotel vipo vya zege.......... ha ah hahah
kuduman201036 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2015 Posts 4,058 Reaction score 2,182 Feb 4, 2016 #15 ha ha ha ha ha wee fundi sana eeeh wa ku kwichi kwichi vitanda vya zege,tafuta vya mabati suka kuna mahali niliviona,
ha ha ha ha ha wee fundi sana eeeh wa ku kwichi kwichi vitanda vya zege,tafuta vya mabati suka kuna mahali niliviona,
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Feb 4, 2016 #16 imegundulika kuwa kuwa kitanda cha zege kina style nyingi kama sofa vlee. hvyo nawashauri hata majumbani kwenu mvitumie
imegundulika kuwa kuwa kitanda cha zege kina style nyingi kama sofa vlee. hvyo nawashauri hata majumbani kwenu mvitumie
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 Feb 4, 2016 #17 Duh nilikutana navyo Zanzibar vitanda vya zege nilishangaa kinoma
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,951 Reaction score 43,372 Feb 4, 2016 #18 Evelyn Salt said: Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma Click to expand... 😱
Evelyn Salt said: Hasa hasa mbelikwe guest house na mama mage guest house yani hapana kwakweli Bora umbwe na keko guest house vipo vya chuma Click to expand... 😱
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,951 Reaction score 43,372 Feb 4, 2016 #19 mbalizi1 said: =-O Click to expand... 😱😱
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Feb 4, 2016 #20 Humu ndani mnachekesha mno... Hilo tanda la zege sini ni kama msingi uliowekwa ki mkeka au godoro