NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
SI ndio sisi mkuu.WE PATA KWANZA AIDII MENGINE BAADAE11000 kwa siku labda muuza pipi za hamsini hamsini
Rais alimaanisha mtaji usiozidi ml 4
SI ndio sisi mkuu.WE PATA KWANZA AIDII MENGINE BAADAE11000 kwa siku labda muuza pipi za hamsini hamsini
Rais alimaanisha mtaji usiozidi ml 4
😀😀😀😀😀 hii ilinipita sikuisikia, chai sehemu sauti haipiti????.Hii na ile ya nahodha wa kivuko aliyepenyezewa chai kwenye tundu ambalo sauti haipiti vimenifungia mwaka. Next year nitajifunza Kiyunani, pengine nitaelewa malaika wakisema nami
Sasa we si mstaafu tayari sis wa miaka 30 acha tusubiri vya machinga mkuuMim nasubili kitambulisho cha mafao nyie hangaikeni machinga