Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,075
Wenzetu kumbe mlishaona huu utapeli kitambo
Card za Benki zinatambuliwa na namba zake zikiwa zimelinkiwa na database ya Benki sawa na vitambulisho hivyo namba zake zimelinkiwa na database ya wajasirimali. Hivyo ukijua namba ya kitambulisho then utamjua mmiliki wa kitambulisho hizo kutoka kwenye database. Haya mambo yanahitaji mtu mwenye uelewa wa database siyo mpiga lamli kama wewe!Usifananishe card za benki na hivi vipande vya karatasi, unaweza kusema card za benki hazina picha lkn imetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu, zina chip ambayo ina particulars zako zote ulizoandikisha wakati unafungua akaunti, kuanzia jina, picha, sahihi yako, anuani, fingerprints, kazi yako, barua ya serikali za mtaa/kazini, date of birth, shule ulizosoma na everything including spouse and names of some of your relatives.
Kama hujui database inavyoundwa huwezi jua kamwe!Sijawah kuona technology ya aina hio yaan kitambusho kitangulie alf details zifuate?
Tulia na ueleweke dada. Mbona spidi nyingi?Card za Benki zinatambuliwa na namba zake zikiwa zimelinkiwa na database ya Benki sawa na vitambulisho hivyo namba zake zimelinkiwa na database ya wajasirimali. Hivyo ukijua namba ya kitambulisho then utamjua mmiliki wa kitambulisho hizo kutoka kwenye database. Haya mambo yanahitaji mtu mwenye uelewa wa database siyo mpiga lamli kama wewe!