Mimi ni mmoja wa Watanzania mwenye kitambulisho cha taifa ambaye hotuba ya Rais jana kufungua mwaka wa Mahakama imenigusa. Nimekiangalia kwa umskini, kinakosa sifa zote za "smart card" kama ifuatavyo:
1) Hakina nembo ya siri kama vike vya "road licence" na "kupiga kura".
2) Hakina mwaka wangu wa kuzaliwa kuthibitisha nina unri gani mimi Mtanzania.
3) Hakina sahihi yangu kuthibitisha hiyo picha na mimi niliye nayo ni changu.
4) Kina mwaka wa kikomo kwamba mimi Utabzania wangu utakoma hiyo siku hadi niombe upya!!!
TUTAFAKARI TUCHUKUE HATUA
Tusiwe washabiki wa mambo tusiyoyaelewa,tatizo lililopo ni kuwa uelewawa wa watanzania kuhusu national ID ni mdogo.Id haikutengenezwa kwa minajili ya kusomwa kama kadi zilizozoeleka mfano bima ya afya,voters ID.
National ID ina content ya taarifa zote za mwananchi na ni taarifa nyingi kuliko ID yeyote katika taifa letu.Kilichopo ili uweze kuziaccess taarifa za kitambulisho cha taifa ni lazima uwe umeunganishwa katika mfumo wa mamlaka hapo ndio unapata kitu kinaitwa wadau wa kitambulisho cha taifa mfano mabenki,tra,bodi ya mikopo na taasisi mbalimbali ambazo zinahitaji kupata taarifa kwa matumizi mbali mbali.
Hivi sasa mabenki katika mkoa wa Dsm wanasisitiza kutumia national ID kwakuwa wameshapewa elimu,wameunganishwa na mfumo wameona umuhimu wa taarifa zilizopo ambapo biometric finger prints iliyomo ndani ya national ID ni feature kubwa zaidi ya signature ambayo mtu yeyote anaweza akaiguess iwapo kama sahihi ya nje ikiwa ndio kigezo.
Namba nne katika national ID ni mwaka wako wote na tarehe yake,
Inayofuatia mfano 12105 ni postcode ya eneo husika mfano tabata,namba zinazofuatia mfano 00004 ni namba yako katika mtaa husika kwa watu wenye Mwaka kama wako.namba mbili za mwisho ni unique namba ya mmiliki Wa ID.
Tatizo lililopo elimu haijatolewa ya kutosha ili watu wapate uelewa.
19841213121050000512 mfano Wa namba hiyo ndio kielelezo cha maelezo yaliyotolewa juu.
Kuhusu expire date inatumika ili kuja kuapdate taarifa za muombaji.
Kwakifupi naamini tutapata mwanga.
shukrani bro kwa kutoa mwanga, tatizo sisi mijitu meusi tupotupo tuu, namaanisha hao waliopewa dhamana ya kutengeneza na kusanbaza vitambulisho pamoja na wizara ya mambo ya ndani ndio walitakiwa waseme haya lakini waaapiiii!!! HALAFU WANANCHI WENGI WALIOJINDIKISHA HAWAJAPATA NA HAKUNA TAARIFA INAYOTOLEWA, yaani wapo kimya tu CJUI wanasubiri wapigwe ambushMeta Stress Free Zone
Tusiwe washabiki wa mambo tusiyoyaelewa,tatizo lililopo ni kuwa uelewawa wa watanzania kuhusu national ID ni mdogo.Id haikutengenezwa kwa minajili ya kusomwa kama kadi zilizozoeleka mfano bima ya afya,voters ID.
National ID ina content ya taarifa zote za mwananchi na ni taarifa nyingi kuliko ID yeyote katika taifa letu.Kilichopo ili uweze kuziaccess taarifa za kitambulisho cha taifa ni lazima uwe umeunganishwa katika mfumo wa mamlaka hapo ndio unapata kitu kinaitwa wadau wa kitambulisho cha taifa mfano mabenki,tra,bodi ya mikopo na taasisi mbalimbali ambazo zinahitaji kupata taarifa kwa matumizi mbali mbali.
Hivi sasa mabenki katika mkoa wa Dsm wanasisitiza kutumia national ID kwakuwa wameshapewa elimu,wameunganishwa na mfumo wameona umuhimu wa taarifa zilizopo ambapo biometric finger prints iliyomo ndani ya national ID ni feature kubwa zaidi ya signature ambayo mtu yeyote anaweza akaiguess iwapo kama sahihi ya nje ikiwa ndio kigezo.
Namba nne katika national ID ni mwaka wako wote na tarehe yake,
Inayofuatia mfano 12105 ni postcode ya eneo husika mfano tabata,namba zinazofuatia mfano 00004 ni namba yako katika mtaa husika kwa watu wenye Mwaka kama wako.namba mbili za mwisho ni unique namba ya mmiliki Wa ID.
Tatizo lililopo elimu haijatolewa ya kutosha ili watu wapate uelewa.
19841213121050000512 mfano Wa namba hiyo ndio kielelezo cha maelezo yaliyotolewa juu.
Kuhusu expire date inatumika ili kuja kuapdate taarifa za muombaji.
Kwakifupi naamini tutapata mwanga.
mm naona watumbuliwe tu maana hakuna namna , au ww unaonaje mkuu...??Hizo id hazina shida, shida n kwamba zimetumika hela nyingi kwa id chache
Wapewe za uso tumm naona watumbuliwe tu maana hakuna namna , au ww unaonaje mkuu...??
Ulichukuliwa alama za vidole kabla ya kutengenezewa kitambulisho hicho?Mimi ni mmoja wa Watanzania mwenye kitambulisho cha taifa ambaye hotuba ya Rais jana kufungua mwaka wa Mahakama imenigusa. Nimekiangalia kwa umskini, kinakosa sifa zote za "smart card" kama ifuatavyo: