Inakuaje nchi ya watu million 55 kuiiga sera mbovu za ka inchi masikini ka watu million 8 Tz kweli hatuna "think tanks"wa uchumu kumshauli raisi wetu?Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Biashara gani mtaji 10,000...?Kwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Ukweli wenyewe wenye mtqji huo wanaweza kulipa kodi. Tatizo ni walipe kiasi gani?Tanzania wafanyabishara wenye mitaji ya chini ya milioni tano ni wengi sana, na ndio walikuwa wananyanywa kila siku na tra...sasa hawa wote wakipata vitambulisho itabidi tra waongeze ubunifu mkubwa sana kufidia hilo pengo.
Hapo kuwa hakina picha sijui kitakuwa na faida gani. Ili kuwasaidia wamachinga kingeuzwa bei ya chini ka shs 1000 (buku) kikawa na expire date ili mtu akaki renyuu. Pesa ingepatikana nyingi tu kwani wengi wange vinunua. Leo nadhani wananunua ili wasije fukuzwa mjini tu wala si vinginevyo, ni sawa na kadi ya ccm. Wengi wamezinunua sasa kukwepa manyanyaso ya dola
Ka ni hivyo, kweli amebuni njia rahisi ya kupata kodi yake. Kabla hujaanza biashara utakuwa ushalipa 20thou. Dah! What a great plan to squeeze them dry.Vile vitambulisho vina expire date, ni mwaka mmoja mmoja kwa mjibu wa Rais maana alisema ni vya mwaka 2018/2019.
Maandazi tunanaza na kilo tatu na mafuta ya book 3 na amira ya nusu buku mkuuBiashara gani mtaji 10,000...?
hakuna pesa, kilichobaki ni kelele tyuuuKwanza nimuombe samahani rais wangu kwa hii tabia ya kukosoa kila jambo analojaribu kutufanyia.Ni vyuma tu vimakaza na baadhi yetu akili zetu ni nyingi na huwa tuna stress ya maisha so akili zikikosa matumizi kabisa huwa zinaishia kukosoaa.Ndo maana huku JF watu wanaoongoza kwa kupost ni majobless.
Nirudi kwenye hoja ya msingi
Hivi vitambulisho havitawasaidia wamachinga hata kidogo bali vitazidi kuwarudisha nyuma kwa sababu zifuatazo:
Nafikiri unahitaji uongeze ubunifu katika hili lisije kuwa kama lile la korosho.
- Vitambulisho hivi ni ghali sana kwa mtu mwenye mtaji wa 10,000 na wengine mtaji wa mali kauli.Ni kumnyonya mtu huyu kama itamlazimu kuwa na kitambulisho ili aweze kuanza biashara
- Vitambulisho hivi vitawapa mgambo nafasi ya kuwanyanyasa wafanya biashra kwa kusema asiyekuwa nacho asifanye biashara
- Kitambulisho hiki kitageuka dili.Kitakuiwa ngumu kupatikana na rushwa itakithiri kukipata inaweza kikauzwa hata laki
- Kitambulisha hiki hakina picha kwahio inamaana kwamba kitakuwa hakina usalama
- Kitambulisho hiki kitageuka kero nyingine kukipata na kukitumia
P.S.Hivi mshauri mkuu wa rais kwa sasa ni nani?
Pipi na BigGBiashara gani mtaji 10,000...?
Ameiga wapi?Inakuaje nchi ya watu million 55 kuiiga sera mbovu za ka inchi masikini ka watu million 8 Tz kweli hatuna "think tanks"wa uchumu kumshauli raisi wetu?
Tofautisha mtaji na faida (Kipato). Mfanyabiashara mwenye mtajinwa million 4 anapata faida ya shs ngapi kwa mwezi?Ukweli wenyewe wenye mtqji huo wanaweza kulipa kodi. Tatizo ni walipe kiasi gani?
Million 4 ni sawa na mshahara wa 330,000
Je hao hawalipi kodi?
Kwa mtaji huo kama hawezi kupata faida ya laki tatu na nusu kwa mwezi, afunge hiyo biashara. It doesn't make sense at all.Tofautisha mtaji na faida (Kipato). Mfanyabiashara mwenye mtajinwa million 4 anapata faida ya shs ngapi kwa mwezi?