Vitambulisho vya kura ni dezo dezo?

Vitambulisho vya kura ni dezo dezo?

Kivumishi Kielezi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
1,028
Reaction score
2,453
Ni kawaida sana katika nchi hii kuona vitambulisho vya kura vinatolewa bila ubabaishaji.

Hakuna longo longo. Ukifika unajaza taarifa wanakifyatua kitambulisho unapewa right on the spot.

Kwanini mbinu hii isitumike kwenye vitambulisho vya taifa pia? Watu wapate huduma chap chap waendelee na shughuli zingine!

Sasa hii NIDA upange foleni wiki nzima, kisha sijui usubiri namba baada ya miezi sita halafu ukae miaka miwili mpaka wamalize kukifyatua na uwapigie simu na kuwatumia meseji ili kuwakumbusha!

Huu urasimu una malengo gani? ni mkakati wenye nia ovu?

Kwanini ni rahisi sana kupata kitambulisho cha Kura kuliko kitambulisho cha NIDA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha kura jirani tu anatosha kuthibitisha kuwa wewe ni mkazi wa eneo unaloishi
Kupiga kura ni muhimu kuliko kitambulisho cha taifa, mtu ambae anapiga kura na kuamua mustakabali wa nchi alafu mnasema hastahili kitambulisho cha taifa, hiyo akili au mavi? Kwa hiyo ni sawa kuchaguliwa viongozi na atu wasio raia ila hao wasio raia hawastahili vitambulisho vya taifa.

Akili zetu bwana, kama mataahira.
 
Ni kawaida sana katika nchi hii kuona vitambulisho vya kura vinatolewa bila ubabaishaji.

Hakuna longo longo. Ukifika unajaza taarifa wanakifyatua kitambulisho unapewa right on the spot.

Kwanini mbinu hii isitumike kwenye vitambulisho vya taifa pia? Watu wapate huduma chap chap waendelee na shughuli zingine!

Sasa hii NIDA upange foleni wiki nzima, kisha sijui usubiri namba baada ya miezi sita halafu ukae miaka miwili mpaka wamalize kukifyatua na uwapigie simu na kuwatumia meseji ili kuwakumbusha!

Huu urasimu una malengo gani? ni mkakati wenye nia ovu?

Kwanini ni rahisi sana kupata kitambulisho cha Kura kuliko kitambulisho cha NIDA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unayoyazungumza ni kweli kabisa, ikiwa mtu amekidhi vigezo vya kupata kitambulisho cha taifa apewe, halafu wao NIDA ndiyo wachunguze ikiwa mtu atapatikana na hatia ya udanganyifu wa kujipatia kitambulisho kinyume na utaratibu uliyowekwa ashitakiwe na alipe faini na adhabu stahiki. Kutokana na umasikini wa watu wengi nchini pamoja na kukosa uaminifu, mambo ya uvunjifu wa sheria na rushwa ni vigumu kukomesheka. Watanzania tuwe waaminifu na tujitahidi kuutokomeza umasikini.
 
Badala kutilia mkazo ‘Passports’ ambazo ni Pesa, wamekomaa na NIDA za bwerere.... serikali itilie mkazo huo huo kwa raia wake kuwa na paspoti.
 
Back
Top Bottom