Vitambulisho na kadi ya benki vimeokotwa

Vitambulisho na kadi ya benki vimeokotwa

BWEDE

New Member
Joined
Mar 23, 2020
Posts
1
Reaction score
1
Vitambulisho vimeokota kwenye gari mwenye kumjua ndugu yetu apo apige namba 0654930190 apate mali zake
FB_IMG_16380892323175151.jpg
 
Vitambulisho vimeokota kwenye gari mwenye kumjua ndug yetu apo apige namba 0654930190 apate mali zakeView attachment 2026006
Una option tatu...

1. Peleka kituo cha polisi kilicho karibu nawe.. pia ukiachagua hii njia uwe makini usije uziwa kesi...

2. Kwa sababu kuna kitambulisho cha nmb basi peleka benki then wape vyote wao watamtafuta maana namba zake wanazo.

3. Kwa sababu una jina la jamaa la vitambulisho basi ingia google then search jina lake. Mara nyingi atakua ameweka namba zake kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom