nobody knows but me
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 525
- 362
Jamani wakuu naomba mnijuze maeneo/sehemu/mtaa kunakouzwa vitambaa mbalimbali vya kushona hasa vya wanawake Kariakoo.Asanteni
Asante sana kwa kunijuzaTatizo majina ya mitaa siijui, ila ukifika kariakoo maeneo ya huu upande wa msimbazi police ulizia duka la halima toto shop..ukifika huo mtaa wote una maduka ya vitambaa