Vitalu vya ujauzito

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,439
Reaction score
872,037
Hiki ndio kipindi chake, huruma kwa singles hata madadapoa kipindi hiki ndio kipindi cha biashara hali ya hewa inawafavor wanandoa hata kama walikuwa wanagawana vitanda kipindi hiki huahirisha ugomvi na mapenzi kuchanua upya.

Nani asiyependa kumbatio? Hali ya hewa hii na kibaridi hiki hata wale wagumu wanayeyuka, gesti house hazilali njaa.Ni kipindi cha kupanda mbegu matokeo ni kuanzia July ndimu maembe mabichi udongo na mbilimbi vitakapopanda bei.
 
Hivi hii nadharia ni ya kweli kwamba mimba hutungwa sana wakati wa majira ya baridi?

Binafsi naona ni maneno ya watu tu...
 
Hivi hii nadharia ni ya kweli kwamba mimba hutungwa sana wakati wa majira ya baridi?

Binafsi naona ni maneno ya watu tu...

Hebu tufanye utafiti wa takwimu kuanzia sasa mpaka August tutapata jibu
 
mimi matokeo yamewahiii mda wote nakula machungwa naweka na chumvi
 
mimi matokeo yamewahiii mda wote nakula machungwa naweka na chumvi

Hahahahaaaa haikuwa na kupindisapindisa hiyo kesho nakuletea mbilimbi mbivu rafiki
 
Hahahahaaaa haikuwa na kupindisapindisa hiyo kesho nakuletea mbilimbi mbivu rafiki

ahahaa mwee.... niletee nijaribu kama zitanikubali maana karoyalprincess changu kimeanza chagua vyakula mapemaa
 
ahahaa mwee.... niletee nijaribu kama zitanikubali maana karoyalprincess changu kimeanza chagua vyakula mapemaa

Naomba niweke oda kwa ka PRINCE kangu ( hakafanani na mswati usihofu)
 
napata shida mpwa na haka kabaridi si mchezo hapa nimekumbatia mto
 
Sogea pande hizi tupashane joto maana nahisi pu..bu zote zimeingia ndani...
 
Ila kweli kipindi cha baridi mimba zinakuwa nyingi sana
 
Mimba nyingi zinatungwa wanapoamza watu kuivisha vyakula mashambani , hivyo ke na me zimeshiba na uchovu wa kazi kunakuwa na bao za fasta fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…