VITAFUNWA

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,051

Habari, Shimso Foods inawaletea huduma ya vitafunwa aina zote kwa wakazi wa dar na vitongoji vyake

[emoji364]Vitumbua 300
[emoji364]Chapati 500
[emoji364]Kachori 300
[emoji364]Maandazi 300
[emoji364]Bagia za kunde 250
[emoji364]Bagia za dengu 300
[emoji364]Sambusa za nyama 500
[emoji364]Visheti 200
[emoji364]Karanga za Mayai 500
[emoji364]Pan cake 300


Vyote unaletewa popote ulipo, minimum ni vitafunwa 100, na unaruhusiwa kuchanganya

[emoji338]0714547830
Tunawatakia mfungo mwema
 



Karibuni kwa oda ya kesho *visheti*

Kimoja 200, unaletewa ulipo kuanzia visheti 100

0714547830
 
Naona nyinyi mnawafaa wenye migahawa na wanaofanya sherehe. Mimi na chapati zangu mbili wacha nikanunue pale kibarazani kwa bibi Mwanauwani...
 
Naona nyinyi mnawafaa wenye migahawa na wanaofanya sherehe. Mimi na chapati zangu mbili wacha nikanunue pale kibarazani kwa bibi Mwanauwani...
Kuna wale wenye familia na hawana muda wa kutengeneza vitafunwa na wanapenda home made bites hii ndo suluhisho lao,

Hao uliowataja wanalalia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…