Habari wanaJF
Natafuta mtu/company inyotengeneza vitabu vya malipo kwa ajili ya comapny/organization kama nilivyoorodhesha hapo chini:-
1. Cash Book
2. Payment Voucher
3. Pretty Cash Expenses
Naomba kufahamishwa wahusika/company inayofanya hiyo kazi kwa DSM.
Ahsanteni