Paroko da travellor
Senior Member
- Oct 16, 2012
- 102
- 101
Habari wakuu, nimeamua kutunga vitabu vya sheria kwa kiswahili ili kuweza kuchangia ktk ulimwengu wa haki na sheria.
Ndani ya kitabu hiki kuna mada zifuatazo,haki zako unapokamatwa na polisi, namna ya kupata dhamana polisi au mahakamani, haki za msingi za binadamu na historia yake, sehemu ya kwenda haki zako zinapovunjwa, uchambuzi wa sheria za ardhi, sheria za ndoa,sheria za mirathi,haki zako unapofukuzwa kazi na sheria za kazi pamoja na sheria nyingine.
Kipo mtaani sasa, bei ni 10000 katika ofisi zetu mtongani ila ukiletewa popote kwa wa dar bei inakuwa 12000! kwa wa mikoani unatumiwa ulipo!
Mawasiliano 0717901233.