Ahsante Radio Producer...
Nadhani kuna haja ya kupata waandishi kama hawa wa hapa kwetu ambao pengine tungeandika masuala haya kwa kiswahili. Nina imani kwamba watu wengi ambao hawafahamu lugha ya kiingereza wanakosa uhondo huu. Ukipita katika maduka yetu ya vitabu unakuta vitabu vya mitaala ya shule tu,
Niko mbioni kuangalia nawezaje kuchangia angalau kuandika kitabu kimoja.
Tafadhali virushe vingine kama vipo