Vitabu vinavyofundisha ujasiriamali vinauzwa

Vitabu vinavyofundisha ujasiriamali vinauzwa

dream tech

Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
12
Reaction score
21
Kwa Tsh 10,000/= Tu unamiliki vitabu (E-Book) mbili ambazo zitakusaidia kuweza kutengeneza bidhaa za viwandani zaidi ya 45.

Na namna ya kuanzisha kiwanda kidogo kwa mtaji wa Tsh 25,000/= Tu

JIFUNZE UJASILIAMALI

Jifunze namna ya kianzisha kiwanda kidogo nyumbani kwako kwa mtaji mdogo. ⁣
(Kuanzia Tsh 25,000) Tu⁣

Utaweza kutengeneza bidhaa mbali mbali za viwandani zaidi ya 45.

Kama vile Aina zote za sabuni, Mafuta na losheni za kupaka, Batiki aina zote, Mishumaa, chill sauce, Tomato sauce. Nk⁣

Utapata muongozo sahihi wa hatua kwa hatua namna ya kuanza safari ya mafanikio ya ujasiliamali.

NA KUPITIA E-BOOK YA
BIASHARA NDANI YA MTANDAO.

Utaweza kupata mbinu za kisasa zaidi za namna ya kupata soko la uhakika la bidhaa zako kwa njia ya mtandao.

Njia bora za kuuza bidhaa zako ndani na nje ya nchi.⁣

Kwa Tsh 10,000/= Tu unamiliki E-Book hizi mbili.⁣ kwenye simu yako.

Ambazo zitakusaidia kuanzisha safari yako ya mafanikio. ⁣

Lipa kwa Mpesa
Namba 0758668707⁣
Jina Nichoraus mwita.

Kisha tuma screenshot ya muamala au jina lako kwa WhatsApp 0622578977.

Au gusa link

Utatumia E-book zako papo hapo kwenye simu yako
1_20201113_115329_0000.jpg


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mbinu ya kutengeneza bati/ cement mkuu kwenye vitabu vyako
 
Tuoneshe kwanza viwanda vyako kama mfano.
 
Back
Top Bottom