Vitabu PEPE
Member
- May 6, 2016
- 6
- 4
Vitabu vingi nilivyonanyo viko katika format ya za EPUB na MOBI, ambazo ni format bora zaidi, kuviiweka hapa inashindikana kwasababu ya aina ya hiyo format.Mkuu naomba uviweke hapa vile vilivyo ktk pdf format
Vitabu vingi nilivyonanyo viko katika format ya za EPUB na MOBI, ambazo ni format bora zaidi, kuviiweka hapa inashindikana kwasababu ya aina ya hiyo format.Tunavisomaje sasa mkuu? Mbona nikifungua inatokea jina la kitabu peke yake? Tuwekee link tuvipakue. Au utaratibu wako ukoje?
Nimekupata mkuuVitabu vingi nilivyonanyo viko katika format ya za EPUB na MOBI, ambazo ni format bora zaidi, kuviiweka hapa inashindikana kwasababu ya aina ya hiyo format.
Ila unaweza ni-PM your email nikakutumia
Kipo Mkuu kinaitwa What to say when you talk to yourself, na kinachohusiana na hiyo topic ya NEURO-PLASTICITY kinaitwaSafi sana mkuu.
Una vitabu vya jamaa anaitwa Shad Helmstetter?? Kimoja kinaitwa SELF TALK SOLUTION kingine kinaitwa NEURO-PLASTICITY??
Jamesmute@gmail.com tuma hapo mkuuHello JF Members,
A mobile phone can be a surprisingly good companion for everyone who wants to have access to their eBooks all day long. Most of us don’t consider our phones as a serious e-reading device.
Nina collection kubwa ya Vitabu PEPE vilivyo katika formats za EPUB, MOBI na vichache katika PDF, nia yangu ni kuhamasisha usomaji vitabu hasa katika smart phones, tablet na PC.
I have Non-fiction and some few fiction eBooks.
[/URL][/IMG]
Thanks Mkuu, nimeweka contacts hapo juu.Mkuu kwa kusaidia wengi ungeweka namba yako ya simu au email ili kwa kila anaehitaji kitabu akutumie SMS au Email ya jina la kitabu.
Nataka vitabu vya computer na program zakdThanks Mkuu, nimeweka contacts hapo juu.