Physics tafuta chand inayouzwa 55000 nelkon na roger mancaster pia pga vitini vya mgote,muddy,ally abdala,chemia pga vitin vya mandia na ngaiza coz chand kazingua hapo pia tafuta ramsden,kwa bios tafuta chand,biological science bs,undestanding biology na vitin vya josephat na reviews @15000 paper 1 and paper2