Muuza vitabu
Member
- Dec 20, 2019
- 6
- 0
Dalali Atatuambia vyote hivyo ni vitabu!Hivi hivi vikiitwa vitabu na Chand itaitwaje??
Naam chukua hiyo namba tuwasiliane upo singida sehem gani au ni PM.ni vitabu vyenye topics zote za advance. delivery inafanyika mkoa wowote tanzaniaVitabu vizur je kwa sisi wa mkoani singida mnatuma ama MNA ofisi zenu na wapi?
vyote ni vitabu kwa kuwa vina ISBN,na vimethibitishwa na taasisi ya elimu,vinatambulika na NECTAHivi hivi vikiitwa vitabu na Chand itaitwaje??
Huyu jamaa ni TO wa 2006. alinifundisha tuition Old boy. Kuna uzi huu unamzungumziavyote ni vitabu kwa kuwa vina ISBN,na vimethibitishwa na taasisi ya elimu,vinatambulika na NECTA
Sent using Jamii Forums mobile app