Vitabu 60 nilivyovisoma mwaka 2025

Vitabu 60 nilivyovisoma mwaka 2025

Habari za weekend wadau,
Waisilamu bwana yesu asifiwe wakristo asalam alaykum marry chrismass na happy new year to all of you.

Kila mwaka huwa naleta vitabu nilivyosoma na mwaka huu ndio nimesoma idadi kubwa kuliko kipindi chote tangia nianze kusoma kama ifuatavyo:-

1.Before you quit your Job by ROBERT T. KIYOSAKI

2.Why ‘’A’’ Students Works For ‘’C’’ Students by ROBERT T. KIYOSAKI

3.I Am Malala by MALALA YOUSAFZAI

4.The business of the 21-ST century by ROBERT T. KIYOSAKI

5.Increase your Financial IQ by ROBERT T. KIYOSAKI

6.Deep Work by CAL NEWPORT

7.Getting Everything you can out of all you have got by JAY ABRAHAM

8.The Intelligent Optimist’s by JURRIAAN KAMP

9.Surrounded by idiot’s by THOMAS ERIKSON

10.Grit by ANGELA DUCKWORTH

11.Mindset by Dr. CAROL S. DWECK

12.The Power of Broke by DAYMOND JOHN

13.Good To Great by JIM COLLIN’S

14.Screw it, Let’s do it by RICHARD BRANSON

15.Exactly What to Say by PHIL JONES

16.Make Your Bed by WILLIUM H. McRaven

17.Dopamine Detox by THIBAUT MEURISSE

18.Attitude is Everything by JEFF KELLER

19.Dream from my father by BARACK OBAMA

20.The One Thing by GARY KELLER WITH JAY PAPASAN

21.Secrets of the millionaire mind by T. HARV EKER

22.Die With Zero by BILL PERKINS

23.Hooked by NIR EYAL

24.The defining Decade by MEG JAY-PhD

25.The Hard Thing About Hard Thing by BEN HOROWITZ

26.The way of a superior Man by DAVID DEIDA

27.The Happiest Man on Earth by EDDIE JAKU

28.The power of Now by ECKHART TOLLE

29.You Have A brain by BEN CARSON-MD

30.Mars and Venus in the Bedroom by JOHN GRAY-Ph.D.

31.How To get What You Want Without Having to Ask by RICHARD TEMPLAR

32.The let them theory by MEL ROBBINS

33.The heart to start by DAVID KADAVY

34.Mind management not time management by DAVID KADAV

35.Business School for people who like helping people by ROBERT KIYOSAKI

36.The four agreement by DON MIGUEL RUIZ

38.12 rules for life by JORDAN PETERSON

39.Can’t hurt me by DAVID GOGGINS

40.The 5-second rule by MEL ROBBINS

41.Daring Greatly by BRENE BROWN

42.The Alchemist by PAULO COELHO

43.Linchpin by SETH-GODIN

44.The E-myth by MICHAEL E. GERBER

45.i’m ready to die by NELSON MANDELA

46.History will absolve me by FIDEL CASTRO

47.The Effective Executive by PETER F. DRUCKER

48.Never Eat Alone by KEITH FERRAZZI

49.168-Hours by LAURA VANDERKAM

50.Thinking fast and slow by DANIEL KAHNEMAN

51.Mastering uncertainty by MATT WATKINSON and CSABA KONKOLY

52.Outliers by MALCOLM GLADWELL

53.FACT FULLNESS by HANS ROSLING

54.Unfair advantage by ROBERT KIYOSAKI

55.Obstacle’s is the way By RYAN HOLIDAY

56.Will Power instinct by Kelly McGonigal.PhD

57.Stillness is the key By RYAN HOLIDAY

58.Total Money Makeover by DAVE RAMSEY

59.Things I never said to myself by DUDUZILE NOELEEN NGWENYA

60.Middas Touch By DONALD J TRUMP AND ROBERT KIYOSAKI

Alamsik.
Mwaka una wiki 52, umesoma vitabu 60.

Ume average 1.15 book a week.

Umetumia mbinu gani mkuu?
 
Mwaka una wiki 52, umesoma vitabu 60.

Ume average 1.15 book a week.

Umetumia mbinu gani mkuu?
Ni ngumu kweli mkuu ila ni commitment tu
Huwa situmii sana mitandao ya kijamii lakini pia huwa nasoma kila ninapopata mda nikiwa kwenye gari naenda na kurudi kazini

Lakini pia nasoma minimum 50 pages per day nikipata mda ni zaidi ya hizo .

Lakini nadhani lugha pia imenisaidia mwanzoni nilikuwa nasoma pages 5 per day ila nili download dictionery imenisaidia ku improve lugha vitabu vilivyo nisumbua kwenye kusoma ni NEW WORLD ORDEE NA LONG WALK TO FREEDOM.

Kikubwa ni kutenga mda tu kama hapa nimetoka kuangalia mpira wa taifa stars half time nasoma hapa
 
Baadhi ya watu maarufu na vitabu walivyosoma mwaka 2025
Screenshot_20260101_100629_Instagram.jpg
Screenshot_20260101_100648_Instagram.jpg
Screenshot_20260101_100643_Instagram.jpg
Screenshot_20260101_100639_Instagram.jpg
Screenshot_20251231_134903_Instagram.jpg
Screenshot_20251230_111601_Instagram.jpg
 
Mkuu nawez kupata softcopy ya THE MOUNTAIN IS YOU?
 
Hivi hivyo vitabu vya wakina robert kayosaki, mambo yanayoandika yapo applicable kwenye mifumo yetu hii ya Afrika ambayo ipo shaghalabaghala? au watu mnasoma tu kuonekana wasomaji.

Usomaji wa vitabu ulishanishinda kwa kweli. Mtu kaandika kitabu kwa kufanya rejea kwenye mifumo ya marekani ambayo ipo well organized halafu usome na ufanyie practice kwenye mifumo ya tanzania. Nitapata maarifa kwa kuji-adjust kulingana na mtaa ila sio hivyo vitabu
 
Hivi hivyo vitabu vya wakina robert kayosaki, mambo yanayoandika yapo applicable kwenye mifumo yetu hii ya Afrika ambayo ipo shaghalabaghala? au watu mnasoma tu kuonekana wasomaji.

Usomaji wa vitabu ulishanishinda kwa kweli. Mtu kaandika kitabu kwa kufanya rejea kwenye mifumo ya marekani ambayo ipo well organized halafu usome na ufanyie practice kwenye mifumo ya tanzania. Nitapata maarifa kwa kuji-adjust kulingana na mtaa ila sio hivyo vitabu
Vinasaidia sana mkuu,
mimi nilianza kusoma vitabu vya "RICH DAD POOR DAD" na "THINK AND GROW RICH" mwaka 2019 vilinisaidia mawazo ya kununua kiwanja na kujenga maana kuna sehemu ilikuwa najitolea nilikuwa naweka laki moja kila mwezi, au laki mbili inategemea sometimes mishe zinanyooka baada ya mwaka nikanunua kiwanja mjini daslama.

Kwasababu vitabu vingi vinaelezea utajiri unapatikana kidogo kidogo hakuna mafanikio au utajiri wa ghafla ndio maana sichezi kamari yoyote wala sibeti na hakuna kampuni duniani iliyoanzishwa na mtu aliyepata hela za kubet wengi tuna dhani tuna tatizo la fedha ila ukweli ni kwamba tuna tatizo la elimu ya fedha.

Ndio maana gwajima alisema ukiwapa watanzania wote kiwango sawa cha hela baada ya mwaka masikini atarudi kuwa masikini na tajiri atarudi kuwa tajiri kwasababu pesa ni mindset na watanzania wengi hatuna financial education.

Lakini pia kupitia vitabu nimejifunza kwamba kuna tofauti kati ya broke na poor ndio maana watu wanaopata hela kwenye ku bet au hela za urithi wanarudi tena kwenye umasikini baada ya muda kwasababu hawana elimu ya fedha ambayo inapatikana kwenye vitabu kitabu kama "psychology of money" kimeelezea scenario hyo.

Lakini vitabu vinaondoa stress na kupunguza mihemko na hasira ambazo ni mbaya sana kwa afya.

Hizo ni za kawaida bado ki science vitabu vinaongeza kumbukumbu na ufahamu kuna daktari mmoja huko marekani anaitwa Benjamin Carson alikuwa kilaza darasani yaani alikuwa wa mwisho ila baada ya mama yake kumwambia asome vitabu alibadilika na kuwa daktari wa kwanza wa neurosurgery iliyofanikiwa duniani, mama yake alikuwa anafanya usafi kwenye nyumba za matajiri akaona wanasoma sana vitabu maana alikuwa single maza akahamishia huo utaratibu kwa wanawe.

Yaani mimi nina ushuhuda na vitabu ni kama wale waumini wa mwamposa vile.

NB : huwezi jua Faida ya kusoma vitabu mpaka uwe msomaji
 
Acha kutudanganya we hivi vitabu 60 labda ulikuwa unasoma nyuzi za watu JF.
Kuna kitabu kina page 2600 useme nisome tu alafu sijui page 100 inasemaje.
 
Mkuu hebu tupe mbinu za kusoma mijitabu yote hiyo,mimi naweza kusoma kitabu nikafika katikati nikaachiq hapo hata kwa miezi nikikishika tena naanza upya,vitabu vinavyonivutia ni vile vya technology na vya vita kama 18 hours
 
Hamna mkuu ukizoea utasoma vingi zaidi mi nilipoanza nilikuwa nasoma pages 5 kwa siku nikaja pages 20 kwa siku nikaja pages 30 kwa siku then 50 kwa siku kwa sasa nasoma pages 100 kwa siku nadhani kikubwa ni lugha mimi nina dictionary ya english tu swahili and english to english. Hivyo inasaidia mkuu
Hongera sana.
Mimi kitabu kama ipo kwenye epub format nakisoma vizuri sana na haraka. Baadhi ya vitabu, hata viwili vinaweza kuisha kwa wiki. Lakini hivi vya pdf kwa kweli hata page tano kwa siku siwezi kumaliza.
 
Hongera sana.
Mimi kitabu kama ipo kwenye epub format nakisoma vizuri sana na haraka. Baadhi ya vitabu, hata viwili vinaweza kuisha kwa wiki. Lakini hivi vya pdf kwa kweli hata page tano kwa siku siwezi kumaliza.
Mbona naona pdf ndio rahisi mkuu any way ukisoma soft copy unasoma vingi zaidi kuliko kwenye hard copy
 
Mkuu hebu tupe mbinu za kusoma mijitabu yote hiyo,mimi naweza kusoma kitabu nikafika katikati nikaachiq hapo hata kwa miezi nikikishika tena naanza upya,vitabu vinavyonivutia ni vile vya technology na vya vita kama 18 hours
Kwanza uwe unasoma kwenye soft copy mkuu kila ukipata muda.

Lakini upunguze matumizi ya social network na kuangalia movie na udaku ukipata mda Soma.

Na jitahidi uwe na dictionary kwenye simu inasaidia kwenye lugha kwasababu ndio kikwazo kikubwa sana ukiweza ku master lugha basi utasoma vitabu vingi.

Ila nakushauri usome vitabu vifuatavyo ili uepuke procrastination vitakusaidia sana anaza na hivi hapa

1.The magic of thinking big
2.The power of positive thinking
3.The power of your subconscious mind
4.How to start living and stop worrying
5.The mountain is you
6.Atamic habit

Nimesoma vitabu vingi ila kitabu cha power of your subconscious mind kimenisaidia sana
 
Mbona naona pdf ndio rahisi mkuu any way ukisoma soft copy unasoma vingi zaidi kuliko kwenye hard copy
Epub ni aina ya file kama ilivyo pdf. Inalign vizuri kabisa na simu na tablets
Screenshot_20260105-091353.jpg

Hapa ni kuscroll tu. Hakuna kwenda left wala right
 
Acha kutudanganya we hivi vitabu 60 labda ulikuwa unasoma nyuzi za watu JF.
Kuna kitabu kina page 2600 useme nisome tu alafu sijui page 100 inasemaje.
Sikulazimishi kuamini mkuu ila kumbuka kila mtu ana masaa 24 ila tunatofautiana tunatumia vipi hayo masaa mwingine anaangalia pornography mwingine anaangalia movie mwingine anatumia social network masaa 24 ni maamuzi ila sijawahi kusoma au kukutana na kitabu chenye page kama hizo 2600 kitabu average pages ni 150-200-250-300 mpaka pages 400.

Mimi kitabu kikiwa na pages nyingi sio shida shida ni lugha kitabu kama LONG WALK TO FREEDOM kina lugha ngumu sana na 48 laws of power na new world orders vilikuwa na lugha ngumu sana ila nilitoboa.

Kuna watu wanasoma vitabu 100 mpaka 180 kwa mwaka kuna jamaa kasoma vitabu 180 nimeona huko mtandaoni so it's possible japo sina chochote cha kufanya kukuaminisha kama ni kweli nimesoma hvyo vitabu kwasababu sishindani ila mwaka jana nilisoma mwaka 42 ngoja niku tagg uone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom