Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,547
- 22,982
nditike dena how're you 😆😀😀😀witya vuli, yuveve
nditike dena how're you 😆😀😀😀witya vuli, yuveve
Kabla kubwa toka miaka na miaka ni Wabena,Wahehe wametokana na Wabena.niliwahi kusikia wabena na wakinga hadi wasangu, walikuwa chini ya Mkwawa, walitawaliwa na chief wa wahehe. labda hayo unayoongea yalitokea baada ya Mkwawa kufa, ila sio wakati wake.
Ndilimunofu hela, ulikwiya myaonditike dena how're you 😆
Hili mi mbena sikua najuaKabla kubwa toka miaka na miaka ni Wabena,Wahehe wametokana na Wabena.
😂😂😂😂watoto wazuri hawana shida na hela ya kutoleaJamani haya si maajabu,wanawake wa Mkoa wa Njombe ukiachana na Wapangwa uwateke uwapeleke wapi,kwa mfano yani.
una evidence yeyote kuhusu hilo, mbona linaweza kutusaidia kubadilisha historia tuliyoaminishwa kwa miaka mingi. Mamangu ni mhehe, na alishawahi kunionyesha Biblia ya kibena, unachosema inawezekana ni cha kweli, kwani inasemekana wahehe hata dini ilipoingia hawajawahi kuwa na Biblia (pengine kwa sababu mkwawa alikuwa muislam hakuruhusu biblia itafsiriwe kihehe) ila zipo za kibena hadi leo.Kabla kubwa toka miaka na miaka ni Wabena,Wahehe wametokana na Wabena.
mkwawa alikua muislam??una evidence yeyote kuhusu hilo, mbona linaweza kutusaidia kubadilisha historia tuliyoaminishwa kwa miaka mingi. Mamangu ni mhehe, na alishawahi kunionyesha Biblia ya kibena, unachosema inawezekana ni cha kweli, kwani inasemekana wahehe hata dini ilipoingia hawajawahi kuwa na Biblia (pengine kwa sababu mkwawa alikuwa muislam hakuruhusu biblia itafsiriwe kihehe) ila zipo za kibena hadi leo.
ndio, na kizazi chake hadi leo ni cha waislam, na alikufa akiwa muislam. NI kwamba, waarabu waliokuwa wananunua pembe za ndovu walipopita Iringa hadi mpwapwa alikokuwa anatawala, walimsilimisha akakubali na kuwa muislam. na hapo ni kabla wajerumani hawajaja kutawala nchi hii.mkwawa alikua muislam??
Nyumbanitu😌uveve?Ndilimunofu hela, ulikwiya myao
Mkureshi alikua mbakaji katika kustawisha dola yake ya kikureshi ila alikomeshwa baada ya kumbaka mwanamke wa kiyahudi na kuwekewa sumu hadi akafa,mkureshi kafa kiboya hajafikia ushujaa kama machifu wengine waliokufa vitani wakitetea dola zao
Motoni yupo mkureshi na kikundi chake alichokua anakiambia kibake ndomana amekufa kama chifu mangungo wa msovero anasubiri hukumu na anaswaliwa na kuambiwa amani iwe juu yake.Mwisho wako mbaya wa kutupwa motoni unaujua vizuri ila kazana tu kujisahaulisha na kujipa moyo
umeshajiandaa maisha ya kuwa kuni motoni?
Kumbe haya mambo yametoka mbaliSasa mwaka 1874 ilitokea Vita kubwa kati ya wabena na wakinga ambayo mainly ilikua ni kuongeza himaya na wanawake. Ikumbukwe wanawake ilichukuliwa ni kitu serious watu walivamia himaya nyingine kuiba vyakula, mifugo na kubeba wanawake kama mateka ambao wakifika kwene himaya yao walikua wanageuzwa wake zao kwa ajili ya kuongeza koo familia zao.
ndio mkuuKumbe haya mambo yametoka mbali
mbona huyo mkeleshi inaonekana kama n kabila la waarabu lililopo kwene hadithiMotoni yupo mkureshi na kikundi chake alichokua anakiambia kibake ndomana amekufa kama chifu mangungo wa msovero anasubiri hukumu na anaswaliwa na kuambiwa amani iwe juu yake.
Aisee hii. naisikia leo kumbe anapambana na wajerumani huku upande mmoja washamlainisha😂😂ndio, na kizazi chake hadi leo ni cha waislam, na alikufa akiwa muislam. NI kwamba, waarabu waliokuwa wananunua pembe za ndovu walipopita Iringa hadi mpwapwa alikokuwa anatawala, walimsilimisha akakubali na kuwa muislam. na hapo ni kabla wajerumani hawajaja kutawala nchi hii.
Nyumbanitu😌uveve?
sindikumanyile kaandi kugamboshi muyangu
Waliua 350 kupata 20!Mwaka ni 1874 kabla ya wajerumani kuja kusini mwa Tanzania mkoa wa sasa njombe waliishi wabena ambalo kwa kipindi hiko lilikua ni kabila dogo.
Wabena ilikua ni kabila ambalo halina mfumo ambao uko centralised yaan hamna hakukua na mtawala mmoja aliyeongoza wabena wote ila kulikua na tawala ndogo ndogo hii ilikua na advantage lakini pia dis advantage ilikua ilikua ngumu kupambana na tawala kali na empire zenye nguvu kama Wajerumani.
Sasa mwaka 1874 ilitokea Vita kubwa kati ya wabena na wakinga ambayo mainly ilikua ni kuongeza himaya na wanawake. Ikumbukwe wanawake ilichukuliwa ni kitu serious watu walivamia himaya nyingine kuiba vyakula, mifugo na kubeba wanawake kama mateka ambao wakifika kwene himaya yao walikua wanageuzwa wake zao kwa ajili ya kuongeza koo familia zao.
Basi mwaka huo kundi dogo la wabena wa vijiji vivyo zunguka mlima kipengele walianziashisha uvamizi kwene himaya ya wakinga ambao walikua wapo kusini kabisa mwa himaya ya wabena ambapo kwasasa kunaitwa Makete.
Walivizia msimu wa baridi kali kabisa lile la mwezi wa sita ambapo maea nyingi barafu na umande hutua na kufunika ardhi ya makete ndio msimu walio vamia. Huu msimu uliwapa advantage kwani hawakua na jeshi kubwa kama nilivosema wameundwa na tawala ndogo ndogo na maadui zao ilikua ngumu kupigana kutokana na barafu kalii na ilikua ni vita ya kushtukiza.
Katika hali ya taharuki walishambuliwa na kupigwa sana kwa vita ya kushtukiza mpaka majeshi ya ukinga yakakimbilia milimani yakiacha familia na wake zao na vyakula na mifugo. Basi majeshi haya ya wabena yalifanikiwa kuchukua mazao ,mifugo wanawake vijana ambao walibebeshwa mazao kuelekea vijiji vya mlima kipengele.
Inakadiliwa watu zaidi ya 350 walipoteza maisha huku wanawake na mabinti wakichukuliwa.
YAANI MFANO KIJIJINI KWETU.
Kuna wabibi zaidi ya 20 nasimuliwa wao kiasili waliporwa ukingani kipindi cha vita. Hii inaonesha jinsi gani hata kulikua na muingiliano mkubwa na mfanano hasa hili swala la kupora wanawake wa makabila mengine
Ebu jitahidi kuelewa.Waliua 350 kupata 20!