Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Na sunnah ya kumsalia mtume ndio yenye thawabu!mwamba kajipendelea sana kwenye himaya yake maana kaoa zaidinya wake 9 ila yeye kawambia wa 4
nakufundisha we binadamu mjawa kiburi na muabudu sanamu kuwa anaetunga sheria ni allah sio mtume kwa hiyo alieweka sheria ya wake 4 kwa sisi ni allah na alieweka sheria kuwa muhammad aoe wake 9 ni allah