Vita ya mashariki ya kati, imewapa ahueni CCM

Vita ya mashariki ya kati, imewapa ahueni CCM

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,545
Reaction score
11,729
Kwa sasa waliokufa mo29 hawana mtetezi tena, kwasasa watu wamehama kabisa, wengiwao kwasasa wanawatetea watoto wa shule wa iran na kiongozi wao alieuliwa.

Kila muandishi wa habari kawa mchambuzi wa vita, na raia wote kwa sasa wamebebwa na upepo.

Nawashauri ccm hii nafasi ya kupumua walioipata waitumie vizuri ni rahisi sana kuongoza hili taifa la manyumbu.

Kwasasa mambo ya mauaji ya mo29 na ICC yashasahaulika, hapo wajipange hii vita ikipoa waje na kiki nyingne hata kwa kulipa machawa.

Sidhani kama kutatokea maandamano tena maana watu wataona wakitoka watauliwa, na waliobaki hawatafanya chochote.

CCM na machawa kazi kwenye mmepata nafasi ya wazi kujipanga upya kwani manyumbu yamepeperushwa na upepo wa vita vya iran.

Pia ikiwezekana muwape posho waandishi wa Vita maana wamewasaidia sana, kwenye mo29 hawakuona kitu ila vita ya irani ndio wamepata cha kusema.
 
Back
Top Bottom