Vita ya kiuchumi inapiganwa wapi?

Dah...Umejichanganya kwelikweli...haihitaji digrii ya maneno mengi ili uelewe......kwa urahisi kabisa....Ni vita ya wazalendo dhidi ya wapiga dili/wezi wa mali ya umma....:cool::cool:
Uzalendo ni neno pana inategemea na mtizamo Wa anayeongea, kimsingi adui wetu ni umaskini na wala sii mtu, tafsiri ya sasa ya maadui ni tafsiri iliyochoka inayotugawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu anayepingana na utajiri wa mtu ambaye ameutafuta kwa jasho lake mwenyewe.....

Dunia nzima inapambana utajiri uliopatikana kwa njia haramu kwa sababu utajiri wa aina hiyo huwa unadhurumu haki za wengine.......

Pablo Escobar ni mtu tajiri sana lakini ameandamwa na vyombo vya usalama mpaka amekamatwa sio kwamba watu wanachuki na utajiri wake bali wanachukia vyanzo vya utajiri wake.......

Hata hapa kwetu matajiri wengi wamecheza rafu sana hadi kufikia hapo....wamedhurumu haki za wengi kwa manufaa yao.....je watu kama wanapaswa kuheshimiwa.......

Marehemu Ndesamburi ni mtu mwenye mafanikio lakini haijawahi kusikika kwenye kashfa yoyote ya ubadhirifu au ufisadi..........

Tunawapenda matajiri lakini wawe matajiri wenye manufaa kwa wote kutokana na utajiri wao.....sio matajiri wanaotuibia rasilimali zetu na kuzihifadhi nje......

Umemaliza bro.
 
So nice

hao matajiri waliyekuibia rasilimali zenu umewahi kuwashitaki wapi?
 
ID inajibu vipi swali langu nililokuuliza....!!?
that's right! unakumbuka katika somo la history o-level (kama ulisoma tz) jinsi gani slavery na colonialism zilifanikishwa na machifu wa wakati huo watu kama chifu mangungo walivyo- collaborate na kina carl peters kwa kuhongwa vitu kama glasswares?
 
to cut a story short anaekulostisha ni yule anaekujua tena unaemuamini na kumpa dhamana kubwa katika maisha yako (kikulacho ki nguoni mwako).wale kina muruge na swetha ni just a small part of the package na kila walivyo "piga" walipiga kwa mikataba,remember wale kina mangungo walisign mikataba pia.
 
Sawa nimekuelewa ndugu yangu........

Uwe na wakati mwema
 
Mkuu salute kwako.

Jpm ni mchawi au anavinasaba ya uchawi.
Haiwezekani kua matajiri kwa kupigana na matajiri kufanya waishi kama mashetani ati ndo masikini ndo watakua matajiri huo ni uchawi.
Ni sawa na mchawi anapologa tajiri afe wakati ata uo urithi yeye atoupata.
Hata huo mgodi wa acacia uliopo kule nyamongo hakuna mbwa yeyote tz anaweza endeleza ile maradi kutokana na technologia inayotumika. Lakini kaamua kuwafukuza kisiasa kwa kuwapa deni la kodi ambalo bugdet ya tz inaingia mara 14 seriously

Nimekupata mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kushinda vita kama utachagua ni maadui gani wa kuua na ni wapi wa kuacha hai. Kama hupo tayari kufukua makaburi yote huwezi kushinda vita ambavyo maadui wakubwa kuliko wote wamejificha ndani ya makaburi. Mwenye kuelewa na aelewe.
 
Kutumbua majipu ni kazi rahisi sana, kwanza jipu likifika muda wake hupasuka lenyewe, kazi ni kufukua makaburi,hiyo hakuna mwana CCM yeyote ambaye yupo tayari kuifanya. Lissu pekeee ndiye atakayefukua Hadi lá baba Wa taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom