Huyu jamaa hana fact kuhusu anachokiandikaNimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu
Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki
Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii
Na serekali ya Kongo wakisema wanapigana vita hii kwa bahati nzuri wakashinda kuna baadhi ya wanyarwanda ambao watakimbilia Kongo na baada ya miaka kazaa na wao watajiita wanyamulenge sio wanyarwanda tena na hiyo itakuwa vurugo juu ya vurugo
Hawa M23 ni kikundi ambacho kinatatetea haki za wanyarwanda wakongo ambao wanasumbuliwa na maimai kikundi cha wabembe wanao tetea haki za wabembe wenzao ili kumaliza matatizo haya
Ina bidi serekali ya Kongo wafanye nguvu saana kuwaunganisha haya makabila mawili haya ya kiungana basi na amini amani ya Kongo itarudi vizuri
Wakikataa kuungana basi wajue apo kutakuwa na mataifa makubwa ambayo yanaingiza mkono wao kuwachonganisha hawa watu ili wazidi kupigana wao wapate faida
Huyu jamaa hana fact kuhusu anachokiandika
sijapenda kwa kweliNimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu
Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki
Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii
Na serekali ya Kongo wakisema wanapigana vita hii kwa bahati nzuri wakashinda kuna baadhi ya wanyarwanda ambao watakimbilia Kongo na baada ya miaka kazaa na wao watajiita wanyamulenge sio wanyarwanda tena na hiyo itakuwa vurugo juu ya vurugo
Hawa M23 ni kikundi ambacho kinatatetea haki za wanyarwanda wakongo ambao wanasumbuliwa na maimai kikundi cha wabembe wanao tetea haki za wabembe wenzao ili kumaliza matatizo haya
Ina bidi serekali ya Kongo wafanye nguvu saana kuwaunganisha haya makabila mawili haya ya kiungana basi na amini amani ya Kongo itarudi vizuri
Wakikataa kuungana basi wajue apo kutakuwa na mataifa makubwa ambayo yanaingiza mkono wao kuwachonganisha hawa watu ili wazidi kupigana wao wapate faida
100% ni ukweli.Vita ya Congo inachagizwa na serekali ya Kagame.
Kwanini unawaita wanyarwanda wa Congo kwani hakuna warundi wa Congo mkuu? Kwanini wao tuNimefanya uchunguzi wa ndani kuhusu vita hii nimegundua vita hivi ni vya ukabila tu
Mnyarwanda si dhani kama anahusika au hahusiki
Ila ukabila ndo chanzo cha vita hii
Na serekali ya Kongo wakisema wanapigana vita hii kwa bahati nzuri wakashinda kuna baadhi ya wanyarwanda ambao watakimbilia Kongo na baada ya miaka kazaa na wao watajiita wanyamulenge sio wanyarwanda tena na hiyo itakuwa vurugo juu ya vurugo
Hawa M23 ni kikundi ambacho kinatatetea haki za wanyarwanda wakongo ambao wanasumbuliwa na maimai kikundi cha wabembe wanao tetea haki za wabembe wenzao ili kumaliza matatizo haya
Ina bidi serekali ya Kongo wafanye nguvu saana kuwaunganisha haya makabila mawili haya ya kiungana basi na amini amani ya Kongo itarudi vizuri
Wakikataa kuungana basi wajue apo kutakuwa na mataifa makubwa ambayo yanaingiza mkono wao kuwachonganisha hawa watu ili wazidi kupigana wao wapate faida
Wafuatilie mwaka 1996 October kulitokea nini congo[zaire]Vita ya Congo inachagizwa na serekali ya Kagame.