Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Kwa kweli kama kuna wakati ambao tunaenjoy kusafiri kwa mabasi basi ni sasa. huwa nashangaa sana ninapokura MTU anakata tiketi ya gari lenye mamba A wakati luxury buses zipo.
Katika mambo ambayo nimeyashangaa kwenye mabasi morden hasa haya kichina ni technogia inavyo tumika.
kwa sasa tunapata huduma hizi
1. Free WIFI (internet hadi unafika kwenu)
2. USB (kucharge simu)
3. video screen kwa kila kiti.
Nadhani itafika wakati bombardier tutapanda kwa sababu ya kuwahi kufika na sio usafiri ambao ni luxury.