Vita vya Urusi na Ukraine vitaisha soon

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Kwa mtizamo wangu naona hivi vita vitaisha muda si mrefu. Kwa sababu, Putin hana tena ujanja, rais wa Uturuki na kiongozi wa india wameshamwambia achana na hivyo vita. Wanajeshi wengi wa kirusi hawana tena na morari wa hii vita. Na Putin hawezi tena kutuma jeshi tena maana wamebaki tu wa kulinda nyumbani.

Lingine ni kuwekewa vizuizi vya uchumi na kutengwa na dunia. Ukiona unatengwa mpaka kwenye mazishi wewe ni hopeless ni sawasawa na toilet paper ukishafutia matako haina tena thamani. Lingine silaha zinaanza kumwishia huyu shetani Putin.

Kuna silaha nyingi sana zinaingizwa Ukraine kutoka magharibi ambazo mimi na wewe hatuzijui. Ni zaidi ya HIMARS. Kuna wanajeshi wengi sana wa ukraine ambao wako mafunzoni kwenye nchi za magharibi. Wanajeshi wengi na wataalamu wa usa wapo ukraine wanaendesha hizi mitambo na satellite satellite ambazo zinaona kila movement ya jeshi la Russia.

Elewa pale mji mkuu wa Ukraine wakati wa uvamizi wa wale wanajeshi wa parachute, wamerekani waliwajulisha jeshi la ukraine wakaa mkao wa kuuwa tu lile jeshi imara la russian. Mbinu ya kuuteka mji mkuu na uwanja wa ndege ukakwama.

Russia anatumia analog na machuma ya kizamani. Halafu warusi wengi ambao ni matajiri wako against Putin wanamwinda sana, amewasababishia hasara sanaa. Kuna siku utasikia wamemchinjilia mbali.
 
Unaposema wamebaki walikulinda nyumban unajua kuwa Russia hajatumia jeshi lake lasmi pale Ukraine? Unajua kuwa wanajeshi wanaopigana Ukraine kwa upande wa Russia wengi ni wakukodi? Pale DPR, Wagner Group, Wanamgambo wa Luhansk na Chechen hawa ndo wametoka mashariki wa Urusi ambao wako ndan ya Jeshi? Ukisema Rusia amemaliza wanajeshi unakosea bado sana na hajapeleka mzigoni wanajeshi wake kwa kias hicho
 
Upo sahihi mkuu. hata majeneral walio kufa kama kuku ni wakukodi pia. Pia hawatak kutumia silaha wa atumia za iran za kukodi. Hypersonic ni za kukod pia na silaha walizo zitelekeza izyum ni zakukodi. Pia usisahau kua now wanaajiri wafungwa wa kukodi. ili jeshi lao tukufu lisipate tabu au sio.
 
Mleta mada unaonekana kuwa ni mbu×3 unasema silaha nyingi zinaingia Ukraine ambazo wewe huzijui sasa ulijuaje kwamba zimeingia? Pia huijui Urusi hata kwa robo na habari hii umeileta kishabiki sana
 
Unaposema wamebaki walikulinda nyumban unajua kuwa Russia hajatumia jeshi lake lasmi pale Ukraine? Unajua kuwa wanajeshi wanaopigana Ukraine kwa upande wa Russia wengi ni wakukodi? Pale DPR, Wagner Group, Wanamgambo wa Luhansk na Chechen hawa ndo wametoka mashariki wa Urusi ambao wako ndan ya Jeshi? Ukisema Rusia amemaliza wanajeshi unakosea bado sana na hajapeleka mzigoni wanajeshi wake kwa kias hicho
Ma generali kirusi wanauliwa na kutekwa kila siku nchini ukaraine nao ni wa kukodi?
 
Unaposema wamebaki walikulinda nyumban unajua kuwa Russia hajatumia jeshi lake lasmi pale Ukraine? Unajua kuwa wanajeshi wanaopigana Ukraine kwa upande wa Russia wengi ni wakukodi? Pale DPR, Wagner Group, Wanamgambo wa Luhansk na Chechen hawa ndo wametoka mashariki wa Urusi ambao wako ndan ya Jeshi? Ukisema Rusia amemaliza wanajeshi unakosea bado sana na hajapeleka mzigoni wanajeshi wake kwa kias hicho
Kama ndiyo hivyo basi Putin anajipendekeza tu kusema ni operesheni yake, itakuwa ni vita ya Waukraine wenyewe kwa wenyewe.

Kama Putin hajapeleka jeshi rasmi kama unavyodai, hata wanaomlaumu kwa hii vita wanamuomea tu.
 
Mleta mada unaonekana kuwa ni mbu×3 unasema silaha nyingi zinaingia Ukraine ambazo wewe huzijui sasa ulijuaje kwamba zimeingia? Pia huijui Urusi hata kwa robo na habari hii umeileta kishabiki sana
Kojoa ukalale mkuu . Tulia sindano iingie . Putin anapiga magoti vita viishe .
Screenshot_2022-09-20-18-00-54-805_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Back
Top Bottom