VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 402
- 539
Iran hana jinsi ni kusalimu amri yule mshauri wa mambo ya kiusalama Marekani John Bolton huwa anatamani iran ipigwe iwe kama IraqKuna makamanda wa iran watakuja hapa waseme ya kwao
uchumi wa marekani huwa unakuwa kwa kasi kama akiwa vitani ndio maana wanataka kumpiga iranIran ni kimelea! Ipigwe!!!!!
si wanajua hawawezi kushinda ndio maana,ila makamanda wa iran ndio wanachochea vita kuna generali mmoja wa iran alisikika akisema kwamba iran itaangamiza Israel pamoja na vikosi vyote kwa Marekani mashariki ya kati ndani ya siku moja.Nilisikia habari ya ayatolla kemenei akisema hawataki vita na Marekani
na Israel saa hivi anamsubiria tu Marekani alianzishe na yeye aingie iranHayo ni maneno tu, juzijuzi tu Israel ilishambulia vituo vya iran vilivyopo Syria lakini iran aliishia kusema Israel ikishambulia ndani ya ardhi yetu tutaifuta kwenye uso wa dunia
kafiri.......baada ya Syria naona makafiri wanaifuata Iran
nani huyo kafiri trump au wewkafiri.......
wewenani huyo kafiri trump au wew
baada ya Syria naona makafiri wanaifuata Iran.....