VentureCapitalist
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 402
- 539
Hivi juzi kati marekani wamepeleka carrier strike group pamoja na bombers na hata Rais Trump alisikika akisema akilazimika atatuma wanajeshi zaidi ya laki moja.Sasa hapo IRAN hana jinsi ila kuwa mpole.Maana uwezo wa kupambana na Marekani.wachambuzi wa siasa wa bala la ulaya wamekuwa wakisema bwana Trump ndio ilikuwa lengo lake kumbana IRAN katika kona.Hapo sisi tunaangalia tu lakini pande zote mbili zisije sababisha vita vya dunia vya tatu tu!