Vita vya Bashe na Kigwangala vyapamba moto Nzega

Vita vya Bashe na Kigwangala vyapamba moto Nzega

Abdull Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
345
Reaction score
307
Muda huu halmashauri kuu ya wilaya CCM Nzega kinaendelea na kikao chake kwa kutoa taarifa kwa Kinana.

Moja ya taarifa hizo ni namna mbunge wa Nzega alivyowaita wanaCCM kuwa ni mzigo wa mavi katika moja ya mikutano yake kukisema vibaya chama hicho na serikali yake mbele ya jamii na kwamba ni mtu ambaye haeleweki.

Wakati taarifa ikimkaanga dk. Kigwangwala kwa upande wa Pili umeelezea mchango mkubwa unaofanywa na Husein Bashe ktk chama ikiwemo kutoa zaidi ya baiskeli 350 na pikipiki moja kwa kila jumuiya ya chama wilaya na mabalozi wamepatiwa baiskeli.

Vita vyao vilianza kujionesha asubuhi ya leo wakati wakimpokea Kinana katika eneo la Ziba Igunga ambapo Bashe aliwahi kufika katika mlango wa gari ya Kinana na kumfungulia mlango huku Kigwangwala akiwa ameduwaa.

Ndiyo kwanza asubuhi tusubiri tuone mpambano huu utakavyoisha.

UPDATE
Katika uzinduzi wa matawi ya CCM na ukaguzi wa miradi michango mbali mbali inatolewa maeneo matatu, Kigwangwala anaahidi Bashe anatoa keshi, Kinana uzalendo na maadili ya urefa yanamshinda, anasema Bashe ndiye mwenye kufaa hajafafanua anafaa katika nini katika eneo LA while ya sekondari Kampala wanafunzi wanadai Bashe awasalimie.

Katibu mkuu anapotezea wanafunzi wanamshangilia Bashe ni hatari katika mpambano huu.
 
Kigwangala ana akili za kufikiria kisabuni nae anataka kuwa rais wa nchi ya kusadikika
 
Tatizo la Kigwangwala ni kupenda sifa za kijinga...
 
Kinana na Bashe wote wasomali. Hawa wasomali wana uraia wenye mashaka. Halafu Kinana mwenyeji wa Arusha kama Lowasa,ambaye na Bashe ni maswahiba. Unganisha hizo dots.Hapo Dr Kigwangala,mnyamwezi wa watu ataumia tu,hana chake.
 
Bashe msomali,kinana msomali na anayempa hela rostam mwarabu na nzega imejaa madini yanayoibiwa na wageni.
kigwa angekuwa na akili angetulia akasoma mchezo akiwa upinzani.
 
Mud a huu halmashauri kuu ya wilaya CCM Nzega kinaendelea na kikao chake kwa kutoa taarifa kwa Kinana.Moja ya taarifa hizo ni namna mbunge wa Nzega alivyowaita wanaccm kuwa ni mzigo wa mavi ktk moja ya mikutano yake kukisema vibaya chama hicho na serikali yake mbele ya jamii na kwamba ni mtu ambaye haeleweki.

Wakati taarifa ikimkaanga dk. Kigwangwala kwa upande wa Pili umeelezea mchango mkubwa unaofanywa na Husein Bashe ktk chama ikiwemo kutoa zaidi ya baiskeli 350 na pikipiki moja kwa kila jumuiya ya chama wilaya na mabalozi wamepatiwa baiskeli.

Vita vyao vilianza kujionesha asubuhi ya leo wakati wakimpokea Kinana katika eneo la Ziba Igunga ambapo Bashe aliwahi kufika katika mlango wa gari ya Kinana na kumfungulia mlango huku Kigwangwala akiwa ameduwaa.

Ndiyo kwanza asubuhi tusubiri tuone mpambano huu utakavyoisha.

wafu na mikakati yao ya kuzikana.
 
Bashe kwani ni raia Wa TZ au?

BASHE sio raia mkuu, hakuna Mkoa wa Hovyo hovyo kama tabaora! wanawapa WAGENI Ubunge wanaacha wenyeji! Wageni hawana tija kama wenyeji jamani amkeni! Rostam, Rage na bado wanaweza kumpa Mhamiaji Bashe!
 
Dr. Hamis kigwangala ni MUHA pure,na tabia za waha ni wasiopenda kupelekwa pelekwa,wanajiamin,na huwa wakikorofishwa husema makavu. Huyu jamaa ktk mgogoro wa nzega na ccm ya hapo kmsing yupo sahh,kwan aliungana na madiwana kupaza sauti zd ya mifumo hafdhna. Huyu yupo kweny hot soup kwan ana maadui wengi chaman, namshauri atimkie ACT-Tanzania kwa siasa zake za walio weng(wananchi kwanza) ndo ataonesha uwezo wake vizuri. Au arud hosptalin.
 
maendeleo ya ujenzi wa barabara ya nzega - puge - tabora yakoje? vipi na ile ya tabora - itigi, along the central railway line?
 
Back
Top Bottom