Vita nzito Clouds FM Vs Times FM

Wamshauri angalie alipokosea na kujirekebisha na afanye music not drama,na aliache hilo limwanamke lake

Hahahaaaa,hawezi kumuacha huyo ndiye anayemuweka mjini...akimuacha tu kwisha habari yake....
 

Mhhhhh,leo kazi ipo jamani.....
 
Upepo tu umkalia vibaya, afanye tathmini ajirekebishe atembee mbele. Huku kutafuta mchawi anazidi kuwapoteza hata wachache walio neutral
 
Wakitaka wafanikiwe wamlete msanii mwingine maana huyo davido hana jipya...hata wakimleta Tiwa Savage au Mr. Flavour sio mbaya

wee wamlete wizkid na "show you the money" pale kati watatisher kinoumer
 
Vipi warumi mbona kimya jamani???kila saa nachungulia ubuyu naona kimya...
 
Last edited by a moderator:
Times nimesikia wanatangaza mida hii hukusu mgogoro wao na Davido dhidi ya PrimeTimes Promotion.

Wanadai wamefungua kesi mahakamani ili haki itendeke. Tehteh teheee. Yaan we unakimbilia mahakamani wakati jirani yako ashapiga mpunga wa kutosha!!! Hapo zaidi utasikia, Basata yawaadhibu clouds faini ya sh milioni 5, wakati wazee wa fursa washaingiza mamia kadhaa ya milioni..
 
Hilo mbona tunalijua kua walitumwa kuzomeaaa,Diamond atapanda mara miaaaaaaaaaaaaaa
 
Nadhani clouds wanauelewa na barua waliyopata coz barua ilimzuia dvdoo kufanya shoo tarehe 18 na sisi tunavyojua tarehe hubadilika pindi itakapofika saa sita6 usiku na davido alipanda mida kama ya saa nane so Times fm kisheria wamepigwa chini bora watulie coz dvdooo alifanya shoo trh 19
 

Mh,kweli kazi ipo kama mambo yenyewe ndio haya....
 
HUU UZI UKIKAA MPAKA KESHO NITASHANGA SANA...
Labda lemutuz le bichwa jinga bin mapens nyanya asipite hapa..
 
HUU UZI UKIKAA MPAKA KESHO NITASHANGA SANA...
Labda lemutuz le bichwa jinga bin mapens nyanya asipite hapa..

Kwani le mutuz yupo upande gani kwenye hii vita???
 
umaarufu unatafutwa kwa nguvu mkuu.
 
Kwani le mutuz yupo upande gani kwenye hii vita???

Yuko upande wa Clouds Fm,kuna uzi uliwekwa hapa juzi alichokiandika le mutuz ig akiwaponda sana Times fm..tena aliweka wazi kuwa yeye ni sehemu ya clouds..but mods nao naona ni sehemu ya clouds uzi haukukaa hata siku ukawa hiden
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…