Vita na Iran inahitaji akili za mwendawazimu

Ninde kaangalie sarafu ya Iran ilivoporomoka alafu uangalie kama kuisifia kunafaa.
Mara hii umesahau kwamba Iran ndio Taifa pekee Duniani lililo wahi kutungua very sophisticated Drones tatu za jeshi la anga la Merikani Drone ya NNE ilishushwa gracefully kwenye airbase ya jeshi la anga la Iran, Wairan walitumia mitambo mahili ya kieletroniki kuhack navigation and control system za Drone na kufanikiwa kuishusha aridhini bila ya kuharibika, baadae wana sayansi wa Iran na Urusi wakashirikiana kuifanyia uchunguza wa kina na kuunda za kwao.


Sina shaka vile vile unakumbuka jinsi Iran ilivyo lipiza kisasi baada ya Generali wao kuuwawa na Drones tatu za Jeshi LA America karibu na uwanja wa ndege nchini Iraq, Iran ilivurumisha makobora hatari yenye uwezo mkubwa wa kulenga shabaha yakashambulia/lipuwa kambi mbili za Jeshi LA Amerika nchini Iraq, wanajeshi lukuki wa USA wakajeruhiwa vibaya licha ya kujichimbia ndani ya mahandaki ya zege, wengi walikimbizwa kwenda kutibiwa Kuwait,Ujerumani na USA kwenyewe - swali ni,je, kama wanajeshi hao wasinge wahi kukimbilia ndani ya mahandaki kuwahi kujificha baada ya kutonywa na Generali wa Iraq kuhusu mpango wa Iran kushambulia makambi ya USA si wanajeshi wengi wa Kimerikani wangepoteza maisha. Licha ya hasara iliyo sababishwa na mashambulizi ya makombora kwenye kambi za kijeshi za Merikani nchini Iraq - Amerika ilikaa kimya bila ya kujibu mashambulizi ya Iran unajuwa kwa nini? USA knows kwamba Wairan/Wahajemi no moto was kuotea mbali - nikiona baadhi ya waswahili wana wabeza beza Wairan nawashangaa sana.
 
Bado sana kupambana na taifa kama Marekani hasa kwenye Air Power... Hata Urusi yenyewe kuzuia mashambulizi ya USA kwa uhakika ni ngumu ila wanaloweza kufanya ni kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya retaliation hivyo kumfanya adui ashindwa kukushambulia. Irani bado wana safari ndefu sana.
Ni mwaka gani Wamerika waliwahi kupambana USO kwa USO na Warusi ukajiridhisha kwamba Warusi hawana uwezo wa kuwashinda Uncle SAM - lini? remember talking is easy.

Ninacho kumbuka mimi kinahusu idadi ya military flying machines za Kimerikani zilizo tunguliwa huko VietNam kwenye miaka ya 1960/70s, USA lost a staggering 15,000 (fifteen thousand) fighter planes,choppers, bombers brought down by Russian S-75 SAM, triple As' and would you believe it even RPG-7, so you see - so called air superiority can be easily decapitated by an equally formidable integrated air defense Systems possessed by both Russians and Chinese - don't you forget that.
 
Back
Top Bottom