Vita Mamba na Tembo

Vita Mamba na Tembo

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,026
Reaction score
43,168
Wanaukumbi.

article-1330891-0C20149C000005DC-623_964x468.jpg


article-1330891-0C2013F5000005DC-582_964x554.jpg



article-1330891-0C201474000005DC-224_964x495.jpg



article-1330891-0C2014B0000005DC-459_964x444.jpg


article-1330891-0C20151E000005DC-123_964x490.jpg


article-1330891-0C2015CA000005DC-375_964x432.jpg


article-1330891-0C201583000005DC-417_964x470.jpg
 
..


....Ha ha ha
mamba anakwenda kuhukumiwa nchi kavu kashatolewa majini!!!
 
Kuna moja alivutwa hadi nchi kavu na akabamizwa kwenye mti mara nne na akakanyagwa weee hadi akawa kama sponji, huyu mdudu tembo ana nguvu za ajabu sana.
 
Hapo naona mamba alikuwa anapumulia mkiani hiyo shughuli ilipata wapambanaji haswa
 
hahhhahahahaahaaa kwa kweli Mpwa leo umenifurahisha, sometimes we need to joke laugh and the like so kila saaa ni kulumbana tu, mwambie na Chir lukosi nae hahahaaaa be blessed Man
Mkuu Elli

Kule wakati mwingine pasua kichwa, teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Pumbavuuu!unahadhigani ww!
Tafuta zako watu hawaowi ovyo mama ww utaliwatuuuweeee mpakaukome utaishia kupakizwa kwenye hzo hama ukipelekwa machinjioni,tafuta lako kwa jasho alaaaaa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Huyo mamba kweli ni haahira,sasa kwa mawazo yake alidhani atamuweza tembo?
 
Back
Top Bottom