Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,246
- 15,065
Mimi ushauri wangu Iran asikubali hata kama Oman atampa guarantee π― American na Western watamuondolea sunction hao hawaheshimu maneno yaoBaada ya hizo siku 45? Iran ashikilie hapo hapo, marekani haaminiki haswa chini ya muhuni trump
Marekani anakupa ofa ya mswaki leo asubuhi, usiku anakung'oa menoMimi ushauri wangu Iran asikubali hata kama Oman atampa guarantee π― American na Western watamuondolea sunction hao hawaheshimu maneno yao
Vitisho vya Trump vilijibiwa hivi
View: https://youtu.be/Uos46d-UpeQ?si=hmuV8BPUaGlDibOu
Mpaa sasa America naona kisha pata dawa yake hawezi tena kugusa Iran ikiwa Oman, Pakistan, Turkey, Egypt na nchi za Europe wakiweza kumuokoa America sidhani kama atasubutu tena kuwagusa IranMarekani anakupa ofa ya mswaki leo asubuhi, usiku anakung'oa meno
Hapo wangemuliza America kabla ya vita Oman alifanikiwa kupata point ya Iran kuwachana na Uranium lakini Israel ndio aliye mtia pressure America aingie kwenye vita balaa yote ni yule ShetanyahuDamu za binadamu zinazomwagika!!
Je wameweka hao vibaraka wao? Hayo sio mabadiliko, lengo lao ni kiweka kibaraka ili waweze icontroll iran, sasa hapa hawana kauli wala ushawishi kwa uongozi uliopoHizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.
Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.
Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.
Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.
Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Kawasikilize maveteran wa CIA na Wanajeshi, wanakumbia baada ya hii vita Iran atakuwa too Powerful.Kama hujui hamna mistakes waliyo Iran US na Myahudi kumungamiza Khamenei matokeo yake baada ya kugawanyika,wananchi wameungana yaani mpaka hapa Iran ameshashinda. US alifanikiwa Iraq na Libya ,wananchi waligawanyika na kuichukia serikali zao kwa Propaganda za uongo, then baada ya hapo ikawa rahisi kwa wao kuingia na kushambulia kwa Iran kwa Iran wamechemka.Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.
Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.
Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.
Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.
Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Je wameweka hao vibaraka wao? Hayo sio mabadiliko, lengo lao ni kiweka kibaraka ili waweze icontroll iran, sasa hapa hawana kauli wala ushawishi kwa uongozi uliopo
Nchi za Gulf states ikisha vita watamfukuza America we tulia utaonaHizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.
Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.
Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.
Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.
Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Una comment kama umekunywa maji ya chooni kama wewe ndiye mshindi kwanini uombe Pooh wewe !?Hizi ni Siasa. Na by the End of the Day upande wa USA na Israel ndio utakuwa umeshinda.
Kumbuka lengo lao ilikuwa ni kuondoa serikal iliyopo madarakan na kuwepa puppet wao.
Wameshindwa kuondoa serikal ila wamewaua viongozi wakubwa wa Iran.
Trust Me. Kupind hiki cha mpito kikipita. Viongoz weng watakaoshika hatam watakuwa puppet wa USA . Na kufanya yale ambayo yatamnufaisha USA kiuchumi.
Ndio njia wanayofanyaga kwenye nchi zote wanazoeanda kupigana nazo vita.
Labda muajemi aweke sharti la Marekani kuwarudisha wanajeshi wake aliowaleta karibuni Mashariki ya kati pamoja na manuari za kivita kama hawaamini Marekani na Israel.Baada ya hizo siku 45? Iran ashikilie hapo hapo, marekani haaminiki haswa chini ya muhuni trump
Kawasikilize maveteran wa CIA na Wanajeshi, wanakumbia baada ya hii vita Iran atakuwa too Powerful.Kama hujui hamna mistakes waliyo Iran US na Myahudi kumungamiza Khamenei matokeo yake baada ya kugawanyika,wananchi wameungana yaani mpaka hapa Iran ameshashinda. US alifanikiwa Iraq na Libya ,wananchi waligawanyika na kuichukia serikali zao kwa Propaganda za uongo, then baada ya hapo ikawa rahisi kwa wao kuingia na kushambulia kwa Iran kwa Iran wamechemka.
Kama wiki mbili zilizopita CNN walikuwa wanajadili juu ya muundo wa uongozi wa Iran, kwani pamoja na viongozi wao kuangamizwa ila Iran bado haijapotea kwenye vision yao na ndio maana ukiitizama hii vita,Iran hajataka kuomba sijui mazungumzo ya usuluhisi,ila walio anzisha ndio wanahangaika, wamejaribu kuongea na Oman,Turkey, China waongee na Iran, ila Iran kakataa.
Mfereji ule wa Hormuz unakuja kuiumiza dollars, kwani baada ya hapo watu watakuwa wanalipa kwa fedha ya Iran na Yuan,huu ndi ushindi mkubwa sana mbele ya US. Hii vita ukiwasikiliza Maveteran wa jeshi na yule mkuu kitengo cha Counterterrorism aliye jiuzulu,unakuja kugundua US alishawishiwa na Myahudi kuipiga Iran na kupewa taarifa za uongo juu ya uwezo wa kijeshi wa Iran,yaani US hata wao hawakuwa na taarifa sahihi juu ya uwezo wa Iran na wote wanaamini US hii vita yeye ndiye atakaye rusha taulo. Hata wale Mageneral kumi na mbili walio ondolewa, wanapinga US kuingiza jeshi kwenye ardhi ya Iran,kwani wanaamini kufanya hivyo ni sawa kuwafungulia geti la Jehanum wanajeshi wa US.Sasa ukiona mpaka Trump anakorofishana na Magejenerali wake na kuvurugana wao kwa wao, mpaka hapo kuna dalili kubwa hii vita US anaenda kutupa taulo.
Una comment kama umekunywa maji ya chooni kama wewe ndiye mshindi kwanini uombe Pooh wewe !?
Anayeshinda ndiye Huwa anampangia mtu Cha kufanya acha kuwa kiazi
Bado mmarekani haaminikiLabda muajemi aweke sharti la Marekani kuwarudisha wanajeshi wake aliowaleta karibuni Mashariki ya kati pamoja na manuari za kivita kama hawaamini Marekani na Israel.
Wee jamaa bhana acha kuchekesha basii force Gani ambayo USA ataitumia !?? Wakati hapo middle east kabondwa mpaka kala uchochoro ndege zake now Kila kukicha zinageuzwa scraperNgoja tuone mm na ww nani ni Kiazi.
Kwanza tuanzie hapa.
Mfereji wa Harmuz ndio kitu pekee alichobakiwa nacho Iran. Au kuna kingne?.
Bila shaka Hapana.
Hizi unazoona zinaendelea ni propaganda. Siasa.
Hata kabla ya USA na Israel kuivamia Iran . Hizi propaganda zilikuwepo na ayatolah akakataa kwenda na matakwa ya kina USA.
Kilichofuata ni Force .
The same way itatokea Harmuz.
Sasahiv wanaombwa wafuate maelekezo na ikishindikana ni force na namna nyingne itatumika.
So far majadiliano yako mezani, hata kama USA hayuko mezan moja kwa moja. Ila jua yoote watakayowekwa mezan na kukubaliana . By the end of the Day yatamnufaisha USA.
Sasa hapo nani kashinda?.
Wee jamaa bhana acha kuchekesha basii force Gani ambayo USA ataitumia !?? Wakati hapo middle east kabondwa mpaka kala uchochoro ndege zake now Kila kukicha zinageuzwa scraper
Iranians hapo Hormuz wana chaji billion 2s ili tu meli Moja iweze kupita Kwa Siku unadhani zikipita meli Kuni ni sh.ngapi !? ππ.
Haya tukija Kwa huyo kubwa jinga USA hivyo vitisho tangu aanze kuvitoa ili Iran waachie hapo Hormuz mbona hawafuati hivyo vitisho!? Kila siku hawafungui na meli hazipiti mpaka zitozwe billions and still unajidanganya tu kwamba Iran they will be defeated ikiwa wote tunaona USA katengwa mpaka na EU community ambayo ndiyo aliyokuwa anaitegemea impe back up So wakumsaidia USA ninani !? USA kaishia kubweka bweka tu kama mbwa wale wa manzese ππ
Hebu amka kwenye hiyo ndoto unayoiota usije ukajikojolea ndugu
Hamna mistakes mbaya kwenye taifa lolote kama wananchi wakipoteza uzalendo, kwani adui anaweza kuitumia hiyo weakness kupenyeza ajenda zake hata kuipindua serikali.Ndio maana hata US alianza kuwafarakanisha wananchi na serikali, wakiamini baada ya kuishambulia kwa kumuondoa Khamenei then mpasuka utazidi kuwa mkubwa ila imekuja kuwa Vice Versa.Nikiri ule mfereji ndio unawapa nguvu.
Na counter measure ya USA wameona washirikishe nchi jiran na sio kwamba USA katupa Taulo.
Plan A ya kufanya wananchi waingie Mtaan wamefeli. Lakin pako na Plan B.
Viongozi watakaowekwa kwa namna moja wataenda na interest za USA. Kidogo kidogo . Kimya kimya kama ilivyo kwa nchi zote za upande ule.
Kusema hii Vita inafanya Iran kuimarika kwa sababu wananchi wanaungana. Sijui umefikiria upande gan?.
Wakat Kiuchum imeporomoka vibaya sana tangu vita vianze.