Lkn unaweza kuta ni wanachama wa Chadema hao wamevaa green Kama walivyofanya wakati Fulani Kule karatu walipokuwa wakisubiri matokeo ya kumtangaza mbunge wao (mh. Natse).....
Walikuwa wakisema hizi ni rangi tuu wajameni na si dhambi kutokelezea nazo .....