Vita dhidi ya madawa ya kulevya....

Vita dhidi ya madawa ya kulevya....

burros

New Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu hiki wanachoita "vita dhidi ya madawa ya kulevya " bila kupata majibu . Ukiangalia kwa umakini utagundua hii vita ni usanii mtupu na haitafanikiwa daima.

Inavyoonekana kwa hapa Tanzania kutumia dawa za kulevya siyo kosa bt kuuza ndo kosa kwa maana kwamba mtumiaji hana kosa tunaishia kuwaita waadhirika wa madawa.

Kwa mtazamo wangu naona ili kufanikiwa ktk hili , watumiaji ndo wangekuwa watuhumiwa namba moja na wawe na kosa la kujibu.

Mfano mtu akikutwa anavuta bangi atafikishwa mahakaman on the spot lakini kwa watumiaji wa madawa tunachofanya ni kuwapa tiba.

Cha kujiuliza hivi kulikuwa na sababu ya msingi ya mr president kumgharimia Ray C matibabu ? Pili kwa nini Ray C asiwataje waliokuwa wanamuuzia hayo madawa ili wafikishwe mahakamani?

Tutafakari kwa umakini sana
 
Kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu hiki wanachoita "vita dhidi ya madawa ya kulevya " bila kupata majibu . Ukiangalia kwa umakini utagundua hii vita ni usanii mtupu na haitafanikiwa daima . Inavyoonekana kwa hapa tz kutumia dawa za kulevya cyo kosa bt kuuza ndo kosa kwa maana kwamba mtumiaji hana kosa tunaishia kuwaita waadhirika wa madawa . Kwa mtazamo wangu naona ili kufanikiwa ktk hili , watumiaji ndo wangekuwa watuhumiwa namba moja na wawe na kosa la kujibu . Mfano mtu akikutwa anavuta bangi atafikishwa mahakaman on the spot . Bt kwa watumiaji wa madawa tunachofanya ni kuwapa tiba . Cha kujiuliza hv kulikuwa na sbb ya msingi ya mr president kumgharimia ray c matibabu ? Pili kwa nn ray c asiwataje waliokuwa wanamuuzia hayo madawa ili wafikishwe mahakamani ?
Tutafakar kwa umakini sana

Great!
 
Mkuu umenena sana hii kitu wanaizungusha ili kutupoteza sisi maboya.
Kuna vitu vingine ni rahisi sana kudili navyo.sasa inashindikana kwa kuwa wakubwa ndio wanahusika nazo hizo kitu.

Wavuta bangi wataonewa milele amina mpaka dunia hii inatoweka kwa kuwa sio biashara ya wakubwa kama sembe.
Ningekuwa mm naweka sheria kari ukikutwa unatumia au ukikutwa au kamatwa na madawa ya kiurevya haina haja ya kubwabwaja ni kunyongwa tuuu bila hjyana.
Sasa mtu wanakamatwa na mabegi then serikali inatuma watu wakafuatilie ili wapate haki yao kweliiiii yaani pesa walizopoteza wakina nzowa kwenda sauzi kwa masogange no bora hata wangewanunulia watoto penseli au hata pipi tu na kuwagawia.

Hiii nchi ni yakimaajabu sana
 
Jiulize kwanza hii biashara ni ya nani? Na je serikali ina mrahaba gani kkwenye mapato yatokanayo na madawa ya kulevya?
Kama upo mrahaba tuelezwe wazi na matumizi yake yakoje,ili tusiilaumu serikali yetu kumbe mgawo wanaopata unatumika kusambaza maji na kutuwekea lami barabara zetu!

Juzi ACP Godfrey Nzowa akiambatana na wanaoitwa maofisa wengine wa police walipanda ndege kwa kile walichokiita ni kwenda kuwajulia hali akina Masogange na mwenzake walio kizuizini South Africa. Kwa kujistukia akasema kwamba kuwatembelea huko si kuwatetea bali ni 'kuwaonesha hajujawatupa' kwa tafsiri ya bwana nzowa!

Akaenda mbali zaidi kwa kutoa justification kwamba dawa walizokamatwa nazo kina Agness 'huwa sinaruhusiwa kuingizwa nchi yeyote kwa kibali maalum' Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza katika hili! Ni watanzania wangapi wanakamatwa kila kukicha na mihadarati wakitokea nyumbani kwenda kwenye nchi za wenzao? Kwanini wao hawtolewi hizi justification? Gharama za kuwapeleka Maafsa wa kipolice 'ziarani' nani anayeincar,na kwa ni kwanini abebe mzigo huo?

Ikumbuke hii ni mara ya pili kwa akina Agness kutembelewa na ujumbe mzito! Kwanini serikali isikubali kwamba either kushindwa kupambana na mtandao wa madawa ya kulevya kwa kuwa ni mkubwa kuizidi! Ama imeacha kudeal nao kwa kuwa ina maslahi inayofaidika nayo!
 
Ccm wanatafuta hela za uchaguzi.kumbuka kofia,kanga,fulana nk.nashauri ccm watengeneze na suruali na viatu vya ccm kuwapata wanyonge wengi zaidi.
 
Mkuu vita hii imo humu JF!!! Nje ya humu hakuna vita!!!!
 
kuna maswali huwa najiuliza sana kuhusu hiki wanachoita "vita dhidi ya madawa ya kulevya " bila kupata majibu . Ukiangalia kwa umakini utagundua hii vita ni usanii mtupu na haitafanikiwa daima . Inavyoonekana kwa hapa tz kutumia dawa za kulevya cyo kosa bt kuuza ndo kosa kwa maana kwamba mtumiaji hana kosa tunaishia kuwaita waadhirika wa madawa . Kwa mtazamo wangu naona ili kufanikiwa ktk hili , watumiaji ndo wangekuwa watuhumiwa namba moja na wawe na kosa la kujibu . Mfano mtu akikutwa anavuta bangi atafikishwa mahakaman on the spot . Bt kwa watumiaji wa madawa tunachofanya ni kuwapa tiba . Cha kujiuliza hv kulikuwa na sbb ya msingi ya mr president kumgharimia ray c matibabu ? Pili kwa nn ray c asiwataje waliokuwa wanamuuzia hayo madawa ili wafikishwe mahakamani ?
Tutafakar kwa umakini sana
bongo kila kitu usanii, viongozi wasanii, vyuoni usanii, hospitalini usanii, wasanii ndio usanii basi tu ili mradi tunakula tunalala ,mambo yanakwende. Mabadiliko yako mbali sana.
 
Alafu kitu kingine cha kujiuliza kwa umakini , almost kesi zote zilizopo ni za watu kukamatwa na madawa wakiwa wanatoka tz kwnd nch nyingine , swali la kujiuliza , haya madawa yanalimwa hapa tz au yanaletwa kwa nia ya kupitishwa tu ? Na kama yanaletwa mbona huwa hayakamatwi kabla ya kuwafikia wakina masogange na wenzie ,
Mazee "not evry common sense is common" thy r just pretending
 
Back
Top Bottom