Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,489 Reaction score 5,251 Apr 25, 2011 #1 Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi?
Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi?
Sumbalawinyo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,282 Reaction score 250 Apr 25, 2011 #2 aibu tupu. Tulisema hatufangamani na upande wowote. Mabepari walitunyima misaada na hata wajamaa wakatunyima misada. Misada waliyotupa ni ile ya kutufanya tuendelee kuishi tu.
aibu tupu. Tulisema hatufangamani na upande wowote. Mabepari walitunyima misaada na hata wajamaa wakatunyima misada. Misada waliyotupa ni ile ya kutufanya tuendelee kuishi tu.
VUVUZELA JF-Expert Member Joined Jun 19, 2010 Posts 3,103 Reaction score 800 Apr 25, 2011 #3 Kiranja Mkuu said: Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi? Click to expand... Chini ya Mwalimu JKN tuliamua kufuata siasa za Chairman Mao!
Kiranja Mkuu said: Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi? Click to expand... Chini ya Mwalimu JKN tuliamua kufuata siasa za Chairman Mao!
Sumbalawinyo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2009 Posts 1,282 Reaction score 250 Apr 25, 2011 #4 VUVUZELA said: Chini ya Mwalimu JKN tuliamua kufuata siasa za Chairman Mao! Click to expand... Tulipookuwa tunasema hatufungamani na upande wowote tulikuwa tunamaanisha nini?
VUVUZELA said: Chini ya Mwalimu JKN tuliamua kufuata siasa za Chairman Mao! Click to expand... Tulipookuwa tunasema hatufungamani na upande wowote tulikuwa tunamaanisha nini?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,519 Reaction score 167,190 Apr 27, 2011 #5 Sumbalawinyo said: Tulipookuwa tunasema hatufungamani na upande wowote tulikuwa tunamaanisha nini? Click to expand... tulikuwa tunajidanganya tu
Sumbalawinyo said: Tulipookuwa tunasema hatufungamani na upande wowote tulikuwa tunamaanisha nini? Click to expand... tulikuwa tunajidanganya tu
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,519 Reaction score 167,190 May 1, 2011 #6 siasa ndo zimeathiri uchumi wetu
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 May 1, 2011 #7 Kiranja Mkuu said: Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi? Click to expand... Tanzania ilizidi kuwa masikini, Utamaduni - sikuona mabadiliki yoyote.
Kiranja Mkuu said: Tanzania iliathirika vipi na ilinufaika vipi kiuchumi na kiutamaduni na vita baridi kati ya nchi za mashariki na magharibi? Click to expand... Tanzania ilizidi kuwa masikini, Utamaduni - sikuona mabadiliki yoyote.