Visungura vinaua Taifa

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,201
Reaction score
48,734
Kijana saa 12 asubuhi tayari macho mekundu kisungura kimeshamchapa. Mpaka saa 6 mchana anaongea pumba tupu.

IGP intelejensia yako miaka 15 mbele Taifa linaonekana liko wapi?

Viongozi mnaacha watoto wa maskini wapagawe kwa visungura ili watoto wenu wakirudi toka ULAYA wagawane majimbo kirahisi?
 
Mkuu bora ufe kwa kiroba kuliko ufe kwa mateso ya kutekwa. Sasa nawaelewa wanaokunyaa visungura wako sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…