SAHIHI lakini kutokana na ushindani inakuwa ngumu kidogoMatangazo sio lazima yawe ya kelele na usumbufu, hata ukibandika vibao vya kuonyesha bei nayo ni matangazo.
pembeni ukute wanaimba wengine na kupiga makofiHizo kelele ni kero kwakweli
F*ckg boring, yani katika mambo yanafanyaga hata nishindwe kwenda karume ni hizo kelele, ukitokea tu barabarani ushapokelewa na watu mikelele dada gauni huyu viatu huyu nini....sipendi kwenda karume ni keropembeni ukute wanaimba wengine na kupiga makofi
Kama mtu hupendi kelele, inakera sanaF*ckg boring, yani katika mambo yanafanyaga hata nishindwe kwenda karume ni hizo kelele, ukitokea tu barabarani ushapokelewa na watu mikelele dada gauni huyu viatu huyu nini....sipendi kwenda karume ni kero