Visiting Nairobi International Agriculture show

Leo nilienda kwenye maonyesho, lkn hayajachangamka Sana, lkn nashukuru vitu nilivyokusudia kuviona nimeviona, kwa tar. yenu mliokusudia kuja nadhani yatakua yamechangamka sana,
 
Naingia hapo Alihmaisi mkuu Mungu akipenda
 
Leo nilienda kwenye maonyesho, lkn hayajachangamka Sana, lkn nashukuru vitu nilivyokusudia kuviona nimeviona, kwa tar. yenu mliokusudia kuja nadhani yatakua yamechangamka sana,
Kuanzia.juma tano yatakuwa yamechanganya sana
 
Mkuu unitizamie kama kuna soko zuri la tangawizi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…