Vision ya mama ni simple and very clear (4Rs)

Mafanikio wakati kila kitu kimepanda Bei?
Mkuu, bei za vitu zinapandishwa na vitu vingi. Kwa hiyo kabla ya kulaumu mtu kwa tatizo fulani, ni lazima ujue kwa uhakika chanzo cha tatizo ni nini.

Mfano, tukimlaumu baba yako kwa vitu kupanda bei ni sawa? Bila shaka sio sawa kwa kuwa sio yeye aliyepandisha na hana uwezo wa kushusha.

Kupanda kwa bei ya mafuta huchangiwa zaidi na sababu za nje kuliko za ndani.
 
Akili ndogo... Baba yangu inaingiaje kwenye maswala ya kitaifa?

Kwa uchangaji huu sizani kama unaweza changia hoja kwenye kikao cha kijiji/mtaa ukaeleweka.
 
..kwa maoni yangu ni vizuri akashughulikia suala la reconciliation kwa usahihi, na kwa mapana yake.

..aepuka kufanya jambo hilo nusunusu au kwa ujanjaunja ili kupitisha muda kufanya mambo yake.

..Kuna ule msemo maarufu, " do it right, or dont do it at all. " huo ndio uwe muongozo wake ktk Reconcilliation.

..Binafsi namtakia mafanikio ktk suala hili.
Mkuu sasa tunafanya siasa za ukweli na maridhiriano!

Tunafanya siasa za kisayansi!
Tunafanya siasa za kisasa za hoja, za kiungwana na zenye ufanisi wa hali ya juu.

Mkuu JokaKuu umekubali au bado bado???
 
..bado sijamkubali kwenye suala la maridhiano.

..nadhani bado kuna kusuasua ktk suala la kutenda HAKI kwa vyama vyote.
 
Kama tulivyoeleza hapo awali kwamba kwenye jamii za kiafrika kuna wachawi wengi; Kawaida ya mchawi, anafurahi kuona zaidi watu wakipata shida (hata kama naye anapata shida) kuliko anavyopenda kuona yeye mwenyewe akifanikiwa. Ndio maana mchawi yuko tayari alale nje akiwa uchi ili akufanye wewe uugue. Sasa mtu kama huyu unatarajia nini la maana toka kwake? ukiona umeungwa mkono na mtu wa namna hiyo, kuwa makini sana.
Umeeleza vizuri. Mchawi ndivyo alivyo. Ni Tabia za watu maskini kufurahi pale watu wanapopata shida.
 
..bado sijamkubali kwenye suala la maridhiano.

..nadhani bado kuna kusuasua ktk suala la kutenda HAKI kwa vyama vyote.
Mkuu hizi mambo zinaenda hatua kwa hatua, mambo yote hayawezi kwa mswano in a second hasa ukizingatia anashughulika na watu complicated. Wabongo sio watu rahisi kudili nao, ni viumbe wa kipekee kidogo kwenye hii dunia.
 
..kwenye kuvunja haki na kukandsmiza wapinzani Ccm, polisi, na mahakama wako very swift. Yaani mambo hufanyika kwa haraka kwelikweli.

..Sasa linapokuja suala la kutenda HAKI na kuweka mazingira ya usawa kwanini Maza / serikali / dola wnashindwa kwenda kwa kasi na nguvu? Kwanini wanakuwa wazito? Kigugumizi chao kinatokana na nini?

..Hii nchi ni yetu sote. Wazee wetu hawakudai uhuru ili kutoa mafasi kwa Tanu na baadae Ccm kuwa raia wa daraja la kwanza, na vyama vingine raia wa daraja la chini.

Proved
 
Swala la maridhiano ni taratibu sio la mara moja. Kumbuka Mama amezungukwa na wahuni wengi

..mbona kupiga, kudhalilisha, na kudhulumu wapinzani huwa mnafanya kwa kasi bila kuchelewa?

..sijawahi kumsikia Rais akisema atawabamiza wapinzani akishamaliza kusimamisha uchumi.

..Timachomhimiza ni afanye kwa haraka zaidi, na kwa uwazi.
 
..kwenye kuvunja haki na kukandsmiza wapinzani Ccm, polisi, na mahakama wako very swift. Yaani mambo hufanyika kwa haraka kwelikweli.

..Sasa linapokuja suala la kutenda HAKI na kuweka mazingira ya usawa kwanini Maza / serikali / dola wnashindwa kwenda kwa kasi na nguvu? Kwanini wanakuwa wazito? Kigugumizi chao kinatokana na nini?

..Hii nchi ni yetu sote. Wazee wetu hawakudai uhuru ili kutoa mafasi kwa Tanu na baadae Ccm kuwa raia wa daraja la kwanza, na vyama vingine raia wa daraja la chini.

Proved
Kwenye maovu wanakuwa na nguvu na ujasiri
 
Back
Top Bottom