Vision ya mama ni simple and very clear (4Rs)

Vision ya mama ni simple and very clear (4Rs)

Unaongea Utumbo...Mtu akifanya Mazuri lazima kila mtu ataona. mpka hapo alipo sasa amefanya nini?
 
... angesimama jukwaani kuelezea vision yake hiyo ingekuwa jambo la maana sana. Kiongozi bora sharti aeleweke na anaowaongoza anawapeleka wapi clearly and loudly! Pia, kama ile sera ya Tanzania ya Viwanda imezikwa rasmi wananchi na taifa kwa ujumla liambiwe ukweli badala kukaa tu kimya.

Kuna tofauti kubwa kati ya kusema na kutenda " Tanzania ya Viwanda" uliona viwanda. Bora huyu R zake zinaonekana
 
Previous regime ilikuja na approach hiyohiyo kwani by then hali ya mambo ilikuwa hivi
kulikuwa na kundi la the oppressed ambalo tofauti na sasa lilijumuisha the majority ambao walikuwa wamechoshwa na upigaji, ufisadi na upapaa uliokuwa umekithiri sana walishuhudia rasilimali za umma zikiwa chini ya watu wachache waliozitumia dhidi yao Dowans Richmond IPTL Miamba kama akina the late Ditopile wazee wa Vijisenti nk walikuwa na uwezo wa kufanya watakalo uku hali ya uchumi ikizorota mgao wa umeme rushwa na ujanjaujanja vilikithiri na kuwa kero!

kwakuwa mtaji wa wanasiasa katika zama zote ni nguvu ya ushawishi kwa watu nchi hii ilimuhitaji mtu atakae waaminisha watu kuwa ataleta mabadiliko na kwa haiba ya JPM alionekana kuwa nabii anaefaa kwa zama hizo nae akaishika nafasi hiyo na kuicheza kama ilivyotakiwa

Katika kuicheza akawa anatembea kwenye circle ileile ya kutengeneza tabaka jingine la the oppressed this time the oppressed wakiwa ni the oppressor in the previous regime ambao kwa bahati mbaya ndio walio na real power kwani ndio haswa walimuweka alipo so to make the long story short we all know what happen..... the dude is no more

ukiwa kwenye meza ya wana wa nchi utaelewa kuwa watawala wanaimba wimbo tofauti kabisa huku "anaupiga mwingi" ni kauli iliyo synonymous na kufanya madudu ila kwakuwa watawala ndio wenye kila kitu kuanzia bunge ambalo ndio mdomo wa wana wa nchi, nchi itaendelea kuimba wimbo wa watawala tu

Deep down hiyo Reconciliation sio ya watawala na wana wa nchi ni watawala na makundi kadhaa yenye interest zao zingine hasa upigaji kama ulivyotoa mfano vyama vya siasa na mashirika blah blah ....
and so is hiyo Resiliency, reform na rebuild jiulize kwa dhati ya moyo wako ni nani mlengwa hasa wa hizo approach je ni the Majority (lower and middle income earners) au the minority super power
"kwa bahati nzuri kila zama huja na nabii wake na kwa bahati mbaya kila nabii huja kuserve interest za aliye mtuma si aliotumwa kwao and no compromise "
Mkuu kuhusu ishu ya ufisadi: Ufisadi ni suala mtambuka na complicated. Tatizo la ufisadi halitatuliwi na mtu mmoja bali linahitaji kuwa na mifumo yenye nguvu yaaani Strong institutions. Mifumo huundwa na watu na watu hutoka kwenye jamii husika.

Kwa bahati mbaya kwenye jamii yetu tuna watu wengi corrupt, so hata tukiunda taasisi watu wetu ndio hawa hawa 'Samples' na watu wema hawapati uungwaji mkono kama 'Incentives' kama inavyotokea sasa. Kwa hiyo wasipokuwa imara nao hukata tamaa kama tulivyoeleza hapo mwanzo.

Ndio maana tunasisitiza kuwa pamoja na uongozi mzuri tulionao kwa sasa ambao umetokea kwa bahati nasibu kwa kiasi fulani; ni muhimu pia tuka advocate mabadiliko makubwa ya kijamii kila mtu kwa nafasi yake na uwezo wake.
 
..what Reconciliation?

..is it Truth and Reconciliation?

..or Obfuscation and Reconciliation?

..Or Reconciliation without Truth?
Ni truth and reconciliation, ila kuna kitu kinaitwa the 'the law of timing' Ukifanya kitu sahihi kwa wrong timing, kinaweza kikaleta disaster sio kwa sababu kitu chenyewe ni kibaya bali umekosea timing.

Hata Alhaj Prof. Assad alikuwa anaongea ukweli lakini kwa timing.So ukweli sawa, lakini pia akili.
 
Unaongea Utumbo...Mtu akifanya Mazuri lazima kila mtu ataona. mpka hapo alipo sasa amefanya nini?
Kuona ni jambo moja, jambo la pili ni nini unafanya baada ya kuona? Kuna mtu akiona umefanya jema anakutia moyo, mwingine anakukatisha tamaa, mwingine anakuloga ukafie mbali. wewe upo kundi lipi?
 
Kwa bahati mbaya kwenye jamii yetu tuna watu wengi corrupt, so hata tukiunda taasisi watu wetu ndio hawa hawa 'Samples' na watu wema hawapati uungwaji mkono kama 'Incentives' kama inavyotokea sasa. Kwa hiyo wasipokuwa imara nao hukata tamaa kama tulivyoeleza hapo mwanzo.

Ndio maana tunasisitiza kuwa pamoja na uongozi mzuri tulionao kwa sasa ambao umetokea kwa bahati nasibu kwa kiasi fulani; ni muhimu pia tuka advocate mabadiliko makubwa ya kijamii kila mtu kwa nafasi yake na uwezo wake.
ukiwa na njaa utakuwa corrupt tu utake usitake wewe ulipwe laki tano kazi yako ni kupass contract za million 500 utakataa 10%!!!? na ukoo mzima unakutegemea for strong institutions nazani waafrika tunamezeshwa sumu na wasomi wa elimu za magharibi we need strong leaders kwanza watujengee uchumi imara kwa kuzuia unyonyaji kama ule wa congo, kudhibiti ubadhiifu na mentality za utegemezi then uchumi imara utatuletea hizo institutions imara

uongozi mzuri kwa vipi na kulinganisha na upi au kwa standards zip?
 
Mkuu, hakuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya umasikini na kuwa corrupt. Kuna watu maskini sana na ni watu waungwana sana anaweza kukupa hata chakula kama umekwama hata kama ni ugali na limao. Na kuna matajiri wakubwa na ni wezi. Kwa hiyo ni suala la tabia zaidi ya utajiri na umasikini.

Aidha, kuna nchi ambazo hatua zake za awali za kuendelea walianza kwa kujenga uaminifu na kuaminiana. Ni ngumu sana kuendelea katika jamii ya watu ambao si waaminifu na hivyo hawaaminiani.
 
"ukiwa na njaa utakuwa corrupt tu utake usitake wewe ulipwe laki tano kazi yako ni kupass contract za million 500 utakataa 10%!!!? na ukoo mzima unakutegemea?" prove me wrong on this kwani huo uaminiu tunaouzungumzia si ni pamoja na wako kuna ukweli lazima tuukubali ili tusonge mbele sisi bado ni masikini mno tena umasikini wa kutupa mtu bado uko kwenye jamii inayopambania chakula tu uwaze kuwa mzalendo na mwaminifu ni ngumu utaweza kwa mtutu wa bunduki tu and thts when strong leadership plays in kuna kitu kinaitwa hierarchy of needs china ilikuwa very corrupt kwa sababu ya njaa leo hii corruption china ni murder case walianza kwa kuwa na strong leadership watu visionary akina kama akina Mao ambao despite their shortcomings they had a job done and their job was to laydown mising ya taifa
 
Sasa kama hivyo ndivyo Mwanambee tutakuwa corrupt kwa sababu ni maskini na tutakuwa maskini kwa sababu ni corrupt. Sasa tutatokaje kwenye huo mzunguko?
 
Ni truth and reconciliation, ila kuna kitu kinaitwa the 'the law of timing' Ukifanya kitu sahihi kwa wrong timing, kinaweza kikaleta disaster sio kwa sababu kitu chenyewe ni kibaya bali umekosea timing.

Hata Alhaj Prof. Assad alikuwa anaongea ukweli lakini kwa timing.So ukweli sawa, lakini pia akili.

..kwa maoni yangu ni vizuri akashughulikia suala la reconciliation kwa usahihi, na kwa mapana yake.

..aepuka kufanya jambo hilo nusunusu au kwa ujanjaunja ili kupitisha muda kufanya mambo yake.

..Kuna ule msemo maarufu, " do it right, or dont do it at all. " huo ndio uwe muongozo wake ktk Reconcilliation.

..Binafsi namtakia mafanikio ktk suala hili.
 
... angesimama jukwaani kuelezea vision yake hiyo ingekuwa jambo la maana sana. Kiongozi bora sharti aeleweke na anaowaongoza anawapeleka wapi clearly and loudly! Pia, kama ile sera ya Tanzania ya Viwanda imezikwa rasmi wananchi na taifa kwa ujumla liambiwe ukweli badala kukaa tu kimya.
Tanzania ya viwanda ilikuwa fix za jpm
 
Tutatoka kwa kuwa na strong leadership
Tunapozungumzia strong leadership Africa, tunazungumzia dictators na sio lazima dikteta awe na akili, anaweza pia kuwa mtu dhalimu na akawa anadhulumu haki za watu hata kufanya mauaji kwa dhulma huku akifanya propaganda na kama hamna taasisi imaraza kumzuia kufanya hivyo kama ilivyo kwa nchi nyingi za Africa, anaweza kufanya mambo ya kuogofya sana. Ndio maana wanaolina hilo, wanafikiri taasisi imara ni muhimu zaidi ya mtu moja mmoja.
 
..kwa maoni yangu ni vizuri akashughulikia suala la reconciliation kwa usahihi, na kwa mapana yake.

..aepuka kufanya jambo hilo nusunusu au kwa ujanjaunja ili kupitisha muda kufanya mambo yake.

..Kuna ule msemo maarufu, " do it right, or dont do it at all. " huo ndio uwe muongozo wake ktk Reconcilliation.

..Binafsi namtakia mafanikio ktk suala hili.
Tumuombee na tumpe usirikiano. Anaongoza jamii yenye makandokando mengi, akiinyoosha bila timing ataivunja na kuiua.

Tumuombee na kampa suppport ,kila mtu kwa uwezo wake na mazingira yake. Kuongoza kizazi hiki chenye ubishi mwingi si jambo rahisi sana.
 
... angesimama jukwaani kuelezea vision yake hiyo ingekuwa jambo la maana sana. Kiongozi bora sharti aeleweke na anaowaongoza anawapeleka wapi clearly and loudly! Pia, kama ile sera ya Tanzania ya Viwanda imezikwa rasmi wananchi na taifa kwa ujumla liambiwe ukweli badala kukaa tu kimya.
Sera ya viwanda ilikuwa ya KIPUMBAVU. Utasemaje eti vyerehani 3 ni kiwanda? Halafu mwisho wa mwaka ripoti ya Magufuli inasema ameanzisha viwanda 4,000 na wananchi wanapiga makofi kushangilia.

Magufuli hakustahili kuwa Rais wa Tanzania
 
Kuna watu wanauliza hivi maono ya mama ni yapi? nani anayejua Rais Samia anakotupeleka? hivi nyie mnamuelewa huyu mama? mbona kama hana vision? n.k haya ni maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na baadi ya wananzengo.

Jamani eeh; vision ya mama ni very simple and clear. Ni '4Rs' yaani (Reconciliation, Resiliency, Reforms & Rebuild).

'Reconciliation'
– Kujenga uhusiano mwema miongoni mwa makundi yaliyokuwa yanahasimiana bila sababu. Hii ni kati ya vyama vya siasa, taasisi na mashirika, wadau wa maendeleo, Tanzania na nchi nyingine na ushirikiano wa kikanda na kimataifa, NGO's n.k.

'Resiliency' - Kuwaponya walioumizwa, kuwatetea waliodhulumiwa, kujaribu kuwarejeshea haki walipokonywa, kuleta furaha kwa wenye huzuni na kuwarudishia matumaini waliokata tamaa n.k.

'Reforms' – Kufanya marekebisho makubwa ya kimifumo ikiwemo kurekebisha sheria mbovu kila zilipobainika, Kutupatia katiba mpya (kwa wakati muafaka ), kufanya mabadiliko ya kiuchumi kutoka uchumi wa ku force hadi uchumi wa kuvutia kisayansi.

'Rebuild' – Kurekebisha penye makosa na kuendeleza kujenga miundombinu muhimu ambayo iko kwenye pipeline.

Na R zote zinaenda kwa mpigo, usiponufaika na 'R' utanufaika na 'R' na usipofikiwa na 'R&R' lazima Upate japo 'R". Enjoy 'R' inayokuhusu huku ukitimiza wajibu wako kwa kuwa mafanikio ya kweli hupatikana pale kila mmoja wetu anapotimiza wajibu wake kikamilifu huku akitanguliza dhamira njema.

Mkuu Naona ajira imeshika hitimu kabisa hutaki mchezo
 
Mtashindana na Kivuli Cha Magufuli Kwa Kila aina.

Ila Watanzania hawawakubali ng'ooo!!.
Watanzania gani unawaongelea,? Labda wasiosoma na wapumbavu!! Mbona Mimi namuona Magufuli alikuwa anatupeleka shimoni!!
 
Back
Top Bottom