Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hiki King'amuzi unapata Channels zaidi ya 110 za Dini, zikiwepo channel za Bongo Maarufu kama
-SHILO TV(Prophet Frank J.K.)
-ARISE AND SHINE(Apostle Bulldoza)
Nyinginezo za nje Maarufu ni kama
-Emmanuel TV( Prophet T.B Joshua)
-Prophetic Channel(Prophet Major 1)
-Mercy TV(Prophet Jeremiah)
-Chosen TV(Pastor Lazarus)
-Liberation TV(Pastor Chris)
-Hope TV
-Loveworld(Pasto Chris O.)
-Salvation TV
-Champion TV
-Dove TV
-Success TV
E.t.c
Bei: 185,000/-
Inajumuisha accessories zote Pamoja na gharama ya Ufundi/Installation.
NB: baada ya installation hakuna tena Monthly Charges/Fees.
Karibuni