Leta ibada sebuleni kwako(king'amuzi cha gospel)

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Pata King'amuzi "PORTABLE" chenye GOSPEL CHANNELS zaidi ya 80.
King'amuzi hiki Kinapatikana kwa Bei ya 240,000 ikiwa ni majumuisho ya Manunuzi na Instalation. Hakuna tena Malipo Mara baada ya Kufungiwa.

Hizi hapa Baadhi ya HOT Channels zake:

1.Emmanuel-Tv(Prophet T. B. Joshua)
2.Chosen TV(Pastor Lazarus.)
3.Loveworld TV(Pastor Chris O)
4.Yadah TV
5.BCS
6.Frontiers TV
7.Miracle-TV(Prophet Angel U)
8.Inspiration
9.Dunamis TV
10.Dove
11.HOpe
12.Hope Int'l
13.Hope Africa
14.CTV
15.JCC
16.KICC
17.God TV
18.Healer TV
19.Blessing TV
20.3ABN
21.Champions TV
22.Favour TV
23.Mercy TV etc.

Popote Ulipo kinapatikana.
 
Ndugu hebu funguka zaidi maana ving'amuzi vyote vinakuwa na chanel zingine pamoja na za dini tofauti hicho unachosema ni cha wakristo tu na unatumia dish au. FUNGUKA ZAIDI
 
Kinafanya kazi mkoa wowote Tanzania? Maana vingine ni baadhi ya mikoa.
 
Pata King'amuzi "PORTABLA" chenye GOSPEL CHANNELS zaidi ya 80.
King'amuzi hiki Kinapatikana kwa Bei ya 240,000 ikiwa ni majumuisho ya Manunuzi na Instalation. Hakuna tena Malipo Mara baada ya Kufungiwa.

Hizi hapa Baadhi ya HOT Channels zake:

1.Emmanule-Tv
2.Chosen TV
3.Loveworld TV
4.Yadah TV
5.BCS
6.Frontiers TV
7.Miracle-TV
8.Inspiration
9.Dunamis TV
10.Dove
11.HOpe
12.Hope Int'l
13.Hope Africa
14.CTV
15.JCC
16.KICC
17.God TV
18.Healer TV
19.Blessing TV
20.3ABN
21.Champions TV
22.Favour TV
23.Mercy TV etc.

Mawasiliano: 0715/0782-240 140

Popote Ulipo kinapatikana.

Maelezo yako hayajitoshelezi! Unakimbizwa na kitu gani? Kwa nini usitoe maelezo ya kina yasiyoacha maswali mengi zaidi?

1. King'amzi kina channels zaidi ya 80, umetaja 23; zingine zaidi ya 57 ni zipi?

2. Wapi ofisini, mahali king'amzi hiki kinapouzwa?

3. Kinatumia antena au dish?

4. Ukishanunua king'amzi hicho hutalipia mpaka lini?

Njoo utoe ufafanuzi wa mambo hayo.
 
Hizo channel zinapatikana kwenye dish la kawaida na ni bure.Tatizo ukitaka kuzipata hizo baadhi ya channel kama Aljazeera na jamii yake zinapotea.
 
Nmeambatanisha hiyo Link hapo Juu kwa Maelezo zaidi tafadhali fungua hiyo link hapo Juu.

Naomba nijubu Maswali hapo Juu kama Ifuatavyo.

1.Wengi wametaka kujua kama kuna Malipo tena Mara baada ya Kununua na Kufungiwa. Jibu ni Hapana. Labda kama utahitaji Spare kama utakuwa umeharibikiwa na Remote au king'amuzi kuibiwa au Dish lako(KU) kuchakaa kwa kutu na ukataka ufanyiwe Replacement.

2.Wengi wanataka kujua kuhusu Ofisi. KI ukweli hata Wazungu saivi washaacha Mtindo wa kufanyakazi kwa Mtindo huo.
Kwa namna nyingine naweza kusema kuwa hii ni Huduma ya "DOOR-TO-DOOR" Ukipiga Simu Unaletewa hadi hapo Ulipo na FUNDI kukufungia na kukukabidhi King'amuzi Chako kikiwa kinafanya kazi.

3. King'amuzi hiki kinatumia ANTENNA ya Dish Dogo la(KU-Band), kama ambavyo DSTV/ZUKU & AZAMTV.

4.Nmeambatanisha linki hapo Juu yenye Channel wastani 67 Za GOSPEL, ila zinazidi kiwango hicho. Waswahili husema, "Ukitaka kujua Uhondo wa NGOMA ni wewe kuingia na Kuicheza" Tumia hiyo link hapo juu kujionea idadi ya Chanels. Ila kwenye DEMO Yangu zipo 107Channels(98 za GOSPEL) na hizo nyingine ni za Kawaida kama(Citizen/Wap TV/Press TV/Madani TV/ HispanTV/Botswana TV. Etc.

5.Kuhusu kufanya Mkoa Wowote, Jibu ni Ndio, kwani Channels zote hizo zinapatikana kwenye Satelite na Sio Terrestial kama Ving'amuzi vya Continental/Digitek/EasyTv na Startimes.

Nakaribisha Maswali kwa yoyote ambaye Nimeshindwa kumwelewesha Vizuri.

KARIBUNI.
 
Ahsante kwa usaniii, hiyo link ni ya web au ya kwenye localhost?????

Ukinunua decoder ya mediacom hizo zote unapata na zaidi.
 
Hizo ni channel za bure kupitia Ku band at 68.5 E hakuna jipya hapo,
 
usanii.JPG

Similar Discussions

Back
Top Bottom